PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Njoo kwenye uislam mkuu, ndiyo dini ya kweli na khaki, huko ulipo unapoteza tu muda wako, mungu hazitambui hizo nyingine.Habari ndugu zangu
Naomba kuelekezwa namna ya kuomba maombi yangu yakajibiwa,kama kusali nasali sana,kufunga nafunga sana,kutoa sadaka natoa ila maisha yangu yameandamwa na magonjwa ya ajabu,kutofanikiwa na kukosa kazi
Sasa wapi ninakosea au mimi sijui kuomba ndugu zangu,kwani ninyi mnafanyaje?
Asanteni