Wenzangu mnaombaje mpaka maombi yenu yanajibiwa?

Pray
Pray
Just Pray...
Japo binafsi nikiwa katika deep shit huwa nashindwa kabisa kuomba...
Mungu akukumbuke
If you believe that God already planned your life before even you were born, Why do you need to pray?

If you believe that your life was already planned by God from your birth to death, Why are you praying?

Are you praying to change God's plan in your life?

Kusali kumuomba huyo Mungu ni uthibitisho tosha kwamba huyo Mungu, Ali plan vibaya maisha yako, Sasa unamuomba afanye marekebisho.

Na kwa namna hii huyo Mungu mnayedai na kuamini ni muweza wa vyote na mwenye kujua yote tangu mwanzo wa maisha yako mpaka kifo ni Uongo.

Na huyo Mungu hayupo.
 
Haya ni maneno ya kiburi cha shibe na uzima....kuna namna ipo siku na saa utautafuta uwepo wake
 
Habari ndugu zangu

Naomba kuelekezwa namna ya kuomba maombi yangu yakajibiwa,kama kusali nasali sana,kufunga nafunga sana,kutoa sadaka natoa ila maisha yangu yameandamwa na magonjwa ya ajabu,kutofanikiwa na kukosa kazi

Sasa wapi ninakosea au mimi sijui kuomba ndugu zangu,kwani ninyi mnafanyaje?

Asanteni
Matatizo yako mengi suluhisho lake halipo au haliwezi kupatikana kupitia njia unazotumia. Suluhu lake au ufumbuzi wake upo kichwani kwako au kupitia watu wengine endapo uta share nao.

Mf. Hata hapa kama ungebainisha baadhi ya changamoto ulizonazo kwa uwazi ungeweza kupata suluhu kupitia ushauri au mang'amuzi mbalimbali ambayo watu wanayo au kupewa msaada wa moja kwa moja.

Yapo matatizo ya kiafya au kiuchumi ambayo ni lazima yatatuliwe katika uhalisia physical.
Ukikuta changamoto zako hazijibiwi unavyotarajia basi jua ni kwa sababu suluhisho lake halipo kiimani bali ni lazima litatuliwe katika mazingira halisi au unapaswa ubadiri kabisa mtazamo wako juu ya hizo unazoziona kuwa ni changamoto, labda ni lesson fulani tuu juu ya makosa fulani ambayo yalifanywa au yanaendelea kufanywa nanyi na mnapaswa myarekebishe sio kiimani no bali kiuhalisia.
Ukitaka kusolve matatizo mengi kiurahisi jitafiti kwanza na kubali kuwa wewe ni chanzo cha hayo matatizo hayo, au umechangia kwa kiasi fulani uwepo wake au hukuchukua hatua stahiki ili kuzuia au kutatua matatizo hayo then utapata pa kuanzia.

Ila kama matatizo yako umewapa watu wakutafsirie chanzo chake.. Mf. Kwa kuwasikiliza wahubiri hawa wa kileo, jua umekwisha na suluhisho wanalokupa ni potofu na hayatakwisha kamwe bali kuongezeka maradufu. Usiwe na mawasiliano na Mungu kupitia watu wengine bali dhamiri na nafsi yako pekee ndio itakufundisha uhusiane vipi na muumba wako.
 
Haya ni maneno ya kiburi cha shine na uzima....kuna namna ipo siku na saa utautafuta uwepo wake
Mleta mada ni uthibitisho tosha wa watu walio tafuta uwepo wa huyo Mungu kwa kusali, kufunga, kutoa sadaka. Lakini Holaaaa!!!!

Mpaka amefikia hatua na uamuzi wa kuja kutuomba ushauri sisi binadamu wenzie, Maana huyo Mungu Hawezi na Kashindwa kujibu na kumtatulia shida zake.

Inaonekana huyo Mungu ni Msahaulifu sana mpaka mnahitajika kusali kumkumbusha shida zenu.

Hivi huyo Mungu wenu mnayedai yupo, Ana uwezo kweli?
 
Habari ndugu zangu

Naomba kuelekezwa namna ya kuomba maombi yangu yakajibiwa,kama kusali nasali sana,kufunga nafunga sana,kutoa sadaka natoa ila maisha yangu yameandamwa na magonjwa ya ajabu,kutofanikiwa na kukosa kazi

Sasa wapi ninakosea au mimi sijui kuomba ndugu zangu,kwani ninyi mnafanyaje?

Asanteni
Endelea kuomba Mtumishi. Mungu atakujibu kulingana na haja zako.
 
Haya mambo hayahitaji hasira wala maneno mengi...Saa yaja
 
Mleta mada amefafanua vizuri kabisa kwamba Ameshasali, ameomba, amefunga na kutoa sadaka, Lakini huyo Mungu hajafanya chochote kile kumsaidia na wala hajamjibu.

Hadi amefikia hatua ya kuja hapa kwa binadamu wenzie tumsaidie ushauri.

Bado tu huoni huyo Mungu hana msaada wowote?

Huyo Mungu hayupo ndio maana kukaa kumuomba na kumlilia ni kupoteza muda wako.

You are your own provider and you are your own solutions.

Hakuna Mungu wa kutatua shida za watu.
 
Haya mambo hayahitaji hasira wala maneno mengi...Saa yaja
Hakuna cha saa yaja wala mama yake saa yaja.

Ukisha zaliwa kwenye hii dunia, Automatically umeingia kwenye ulingo wa kujipambania mwenyewe.

Hakuna cha saa yaja, baada ya kuzaliwa kifuatacho ni kuishi na kufa.

Na wala hilo halina mjadala.
 
Habari ndugu zangu

Naomba kuelekezwa namna ya kuomba maombi yangu yakajibiwa,kama kusali nasali sana,kufunga nafunga sana,kutoa sadaka natoa ila maisha yangu yameandamwa na magonjwa ya ajabu,kutofanikiwa na kukosa kazi

Sasa wapi ninakosea au mimi sijui kuomba ndugu zangu,kwani ninyi mnafanyaje?

Asanteni
Pole ndugu. Anza na kumpenda Mungu kwanza kwa akili zako zote kwa nguvu zako zote na kwa roho yako yote.Hapo ndiyo penye ufunguo wako wa kuanzia
 
mtafute masikini yani yule fukara kabisa hohe hahe asiye hata na chakula. Mnunulie chakula mpelekee. mfano unaweza kununua mchele na maharage hivi..n.k na ukamp pesa kidogo au usimpe pesa hiyo chakula inatosha pia.

Kisha usimwambie mtu yeyote kuwa umetoa sadaka kwa fulani, yani hiyo sadaka iwe ni siri yako wewe na Mwenyezi Mungu tu usitangaze. Halafu amka usiku mida ya saa 9 hivi na umuombe Mungu kwa unyenyekevu, mwambie Mwenyezi Mungu kama umeridhishwa na sadaka yangu kwa yule masikini basi nakuomba uniondolee shida yangu fulani. Chagua ile shida kubwa inayokusumbua sana na usitaje milolongo ya matatizo, taja moja kisha muombe Mungu akuondolee hilo. Kisha jipe muda kidogo wa subira na usikate tamaa. Nakuhakikishia Mwenyezi Mungu atakujibu dua yako.
 
Sasa kama huyo Mungu hawezi na ameshindwa kujibu sala za hao maskini hohehae mafukara, Atawezaje kujibu sala za mleta mada?

Au unadhani hao maskini mafukara wapo kwa ajili ya kusaidiwa ili wengine wapate utatuzi wa shida zao?

Kama fomula ya uombaji ipo hivyo, Kwa nini wewe usiwe maskini fukara usaidiwe, ili wengine wapate kujibiwa shida zao na huyo Mungu?
 
Pole ndugu. Anza na kumpenda Mungu kwanza kwa akili zako zote kwa nguvu zako zote na kwa roho yako yote.Hapo ndiyo penye ufunguo wako wa kuanzia
Mleta mada Ameshampenda sana huyo Mungu kwa kusali, kufunga, kuomba na kutoa sadaka Lakini Holaaaa..!!!

Kabaki vilevile na matatizo yake.

Je huyo Mungu alikuwa haoni jitihada na juhudi za mleta mada kusali na kumtafuta amsaidie?

Mpaka mleta mada kafikia uamuzi wakuja kuomba ushauri kwetu sie binadamu wenzie tumsaidie,

Huu ni uthibitisho na udhihirisho kwamba huyo Mungu hayupo.

Watu waache kupoteza muda kuomba kitu kisichokuwepo.

Wajikitie kupambana kwa nguvu, juhudi na maarifa yao binafsi.

Hakuna Mungu wa kusaidia mtu yeyote yule.

Huyo Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.
 
Sasa kama huyo Mungu hawezi na ameshindwa kujibu sala za hao maskini hohehae mafukara, Atawezaje kujibu sala za mleta mada?

Au unadhani hao maskini mafukara wapo kwa ajili ya kusaidiwa ili wengine wapate utatuzi wa shida zao?

Kama fomula ya uombaji ipo hivyo, Kwa nini wewe usiwe maskini fukara usaidiwe, ili wengine wapate kujibiwa shida zao na huyo Mungu?

mimi huwa sibishanagi na watu wasio muamini Mwenyezi Mungu kwa sababu ni kupoteza tu muda wako. Aliyeuliza ana muamini Mungu na sisi tunamsaidia yeye. wewe naamini huo ushauri haukuhusu kwa sababu huna imani..
 
Ungekuwa hubishani na watu wasio muamini mwenyezi Mungu wala Usingehangaika kunijibu.

Kama huyo Mungu wenu mnaye mwamini, Anaweza kumsaidia mleta mada, Kwa nini nyie muhangaike kutaka kumsaidia?

Kama huyo Mungu wenu mnaye mwamini anasaidia watu kweli, kwa nini kashindwa kumsaidia mleta mada hadi kafikia hatua ya kuja kwetu sisi binadamu kutaka usaidizi?

Huoni kwamba huyo Mungu wenu Kashindwa kumsaidia?
 
Maswala ya kiroho ni uongo uliopitliza , hakuna kitu kama icho Yani uishi Kwa kuamini sijui maombi ndo msaada wako na hizo stori za kwny biblia na Quran ulizozikuta 🤔 sijui Mungu mjuzi wa yote mwnyw mapendo yote , wakati watu wanateseka duniani . Mfano nzuri upendo wa pekee ni WA wazazi wako walokuzaa baba na mama watapambana ule uvae ukiumwa uuguzwe ukiwa na shida ya Hela wakusaidiw Kwa namba yoyote na sio uyo mungu mnayesema anajibu Kwa wakati wake sijui hachelewi Wala hawai
 
Hakuna cha saa yaja wala mama yake saa yaja.

Ukisha zaliwa kwenye hii dunia, Automatically umeingia kwenye ulingo wa kujipambania mwenyewe.

Hakuna cha saa yaja, baada ya kuzaliwa kifuatacho ni kuishi na kufa.

Na wala hilo halina mjadala.
Unatumia nguvu sana bro..Huko kujipambania ndio maana unapata stress wenzio tunapambaniwa....Hebu relax kwanza
 
Habari ndugu zangu

Naomba kuelekezwa namna ya kuomba maombi yangu yakajibiwa,kama kusali nasali sana,kufunga nafunga sana,kutoa sadaka natoa ila maisha yangu yameandamwa na magonjwa ya ajabu,kutofanikiwa na kukosa kazi

Sasa wapi ninakosea au mimi sijui kuomba ndugu zangu,kwani ninyi mnafanyaje?

Asanteni
Fungua moyo wake Na samehe yale mabaya yote yaliyopo kutokea hapo nyuma
 
Je yale maombi ya usiku umejaribu.

Na mwisho negative energy zipunguze kwanza
 
Back
Top Bottom