Wenzangu mnaombaje mpaka maombi yenu yanajibiwa?

Habari ndugu zangu

Naomba kuelekezwa namna ya kuomba maombi yangu yakajibiwa,kama kusali nasali sana,kufunga nafunga sana,kutoa sadaka natoa ila maisha yangu yameandamwa na magonjwa ya ajabu,kutofanikiwa na kukosa kazi

Sasa wapi ninakosea au mimi sijui kuomba ndugu zangu,kwani ninyi mnafanyaje?

Asanteni
Toka hapo kwenye maombi na dhana ya imani, rudi kwenye halisia uone kama itakuwa hivyo.
Iwe heri kwako🙏
 
Unatumia nguvu sana bro..Huko kujipambania ndio maana unapata stress wenzio tunapambaniwa....Hebu relax kwanza.
Mngekuwa mnapambaniwa na huyo Mungu wenu wala hata msingehitaji kuja JF kuomba ushauri kutoka kwa watu wengine.

Mleta mada anahitaji kusaidiwa na sisi binadamu kwa vile huyo Mungu aliyekuwa anakesha kumuomba na kusali, Kashindwa na hawezi kumsaidia.
 
muda wa unachotaka bado haujafika....muda ukifika kitakufata hata ukiwa kaburini
 
Habari ndugu zangu

Naomba kuelekezwa namna ya kuomba maombi yangu yakajibiwa,kama kusali nasali sana,kufunga nafunga sana,kutoa sadaka natoa ila maisha yangu yameandamwa na magonjwa ya ajabu,kutofanikiwa na kukosa kazi

Sasa wapi ninakosea au mimi sijui kuomba ndugu zangu,kwani ninyi mnafanyaje?

Asanteni
Pole sana, najua wakati mwingine tunapitia kipindi kigumu sana . Usikate tamaa

Kuna msemo unasema unapoona kiga limekuwa kubwa fahamu Kuna karibua kupambazuka..

Andika kazi hapa unayoitaji upate utasaidiwa pole sana

Mwanaume
 
-Omba hadi upate majibu
-Ambatamisha maombi na sadaka
-Amini katika unachokiomba na amini kwamba Mungu anajibu
-Jua nguvu ya Mungu,amini Mungu ni mkubwa kuliko tatizo lako.
-Tembea katika njia sahihi..Kwa ndani ya Mungu na weka Neno lake ndani yako
-Omba hadi upate majibu
Ukiwa na muda na Mungu, naye atakuwa na muda na wewe. i.e Mpe Mungu quality time, yaani usimpe Mungu muda wa ziada. tenga muda maalumu wa kuongea na Mungu, sio wakati ambao umechoka ndo ukae na Mungu. ikiwa waweza kuwa na muda na rafiki au mume/mke wako kipenzi, si zaidi sana Mungu? jitahidi kuwa na muda mrefu wa kuongea na Mungu/ Muda mrefu wa kuomba. iwe ni mchana au usiku. omba hadi nafsi yako ikushuhudie kuwa kwa hakika nimeongea na Mungu na maombi yangu yamemgusa Mungu
Kuwa na consistency katika maombi.

Kuwa na consistency katika maombi
omba bla kuchoka, na omba kwa target, ikiwezekana uwe na karatasi au mahali ambapo umeorodhesha maombi yako kwa lengo la kufuatilia ombi lipi limeshapata majibu na lipi bado.
usiwe mwombaji wa kulipuka lipuka yaani wiki moja upo moto kimaombi na wiki lingine umezima.
 
Habari ndugu zangu

Naomba kuelekezwa namna ya kuomba maombi yangu yakajibiwa,kama kusali nasali sana,kufunga nafunga sana,kutoa sadaka natoa ila maisha yangu yameandamwa na magonjwa ya ajabu,kutofanikiwa na kukosa kazi

Sasa wapi ninakosea au mimi sijui kuomba ndugu zangu,kwani ninyi mnafanyaje?

Asanteni
Ukitaka kumstua,Mungu mshukuru hata kwa kutokukujibu.Hii itapelekea Yeye kujua ukubwa wa imani yako.kumbuka kutokujibiwa na Mungu pia ni jibu hivyo mshukuru
 
-Omba hadi upate majibu
Ukiwa na muda na Mungu, naye atakuwa na muda na wewe. i.e Mpe Mungu quality time, yaani usimpe Mungu muda wa ziada. tenga muda maalumu wa kuongea na Mungu, sio wakati ambao umechoka ndo ukae na Mungu. ikiwa waweza kuwa na muda na rafiki au mume/mke wako kipenzi, si zaidi sana Mungu? jitahidi kuwa na muda mrefu wa kuongea na Mungu/ Muda mrefu wa kuomba. iwe ni mchana au usiku. omba hadi nafsi yako ikushuhudie kuwa kwa hakika nimeongea na Mungu na maombi yangu yamemgusa Mungu
Kuwa na consistency katika maombi.

Kuwa na consistency katika maombi
omba bla kuchoka, na omba kwa target, ikiwezekana uwe na karatasi au mahali ambapo umeorodhesha maombi yako kwa lengo la kufuatilia ombi lipi limeshapata majibu na lipi bado.
usiwe mwombaji wa kulipuka lipuka yaani wiki moja upo moto kimaombi na wiki lingine umezima.

-Ambatamisha maombi na sadaka
-Amini katika unachokiomba na amini kwamba Mungu anajibu
-Jua nguvu ya Mungu,amini Mungu ni mkubwa kuliko tatizo lako.

-Tembea katika njia sahihi..Kwa ndani ya Mungu na weka Neno lake ndani yako
Ukisoma uzi wa mleta mada kashafanya yote haya uliyo andika hapa na huyo Mungu hajafanya chochote.

Mnarudia yaleyale ambayo mleta mada kashafanya yote na katoka Holaaaa!!

Huyo Mungu Kashindwa kumsaidia mleta mada ndio maana amefikia hatua ya kuja hapa JF kuomba ushauri kwetu sie binadamu wenzie tumsaidie.

Inaonekana huyo Mungu wenu ni msahaulifu sana mpaka mnahitajika kusali kumkumbusha shida zenu.
 
Habari ndugu zangu

Naomba kuelekezwa namna ya kuomba maombi yangu yakajibiwa,kama kusali nasali sana,kufunga nafunga sana,kutoa sadaka natoa ila maisha yangu yameandamwa na magonjwa ya ajabu,kutofanikiwa na kukosa kazi

Sasa wapi ninakosea au mimi sijui kuomba ndugu zangu,kwani ninyi mnafanyaje?

Asanteni
Kwa hili naamini Mungu yunasi siku zote kwa kipindi nilichopitia apo miaka miwili niliweka tumaini kwake zaidi na matokeo nikayaona Ashukuriwe zaidi🙏
 
Umasikini wa akili ndo mbaya
Na mojawapo ya umaskini mbaya wa Akili ni huu wakusubiri na kumuomba huyo Mungu akusaidie shida zako,

ilhali kiuhalisia ni wewe mwenyewe ndio unaumiza kichwa, namna gani utoke kwenye hizo shida.

Halafu bado unakaa kuamini kauli uchwara za Mungu hakawii wala hachelewi.
 
Habari ndugu zangu

Naomba kuelekezwa namna ya kuomba maombi yangu yakajibiwa,kama kusali nasali sana,kufunga nafunga sana,kutoa sadaka natoa ila maisha yangu yameandamwa na magonjwa ya ajabu,kutofanikiwa na kukosa kazi

Sasa wapi ninakosea au mimi sijui kuomba ndugu zangu,kwani ninyi mnafanyaje?

Asanteni
Pole sana kwa kutujibiwa maombi yako!

Mungu hajawahi kuhindwa kitu! Kwa point hiyo, nadhani wewe ndiyo umeshindwa! Hujui kuomba. Hatujui kuomba.

Ushauri:
1. Muombe Roho Mtakatifu kufundishe kuomba.
2. Shika neno tenda neno. Amesema, neno langu likikaa moyoni mwenu, ombeni lolote mtakalo mtatendewa! Kumbe ili utendewe, unapaswa ushike na uliishi neno!
3. Inawezekana unaomba kibinafsi. Yaani unaomba kwa ajili ya utukufu wako menyewe. Unaomba ili ukipata uwatambie wengine! Uwanyanyase wengine! Kwa Mungu hutapata unchoomba kama hiyo ndiyo dhamira yako! So, cheki dhamira yako tena! Unaomba ili uvitumie uviombavyo kwa ajili ya utukufu wa Mungu au kwa ajili yako mwenyewe???
 
Huenda una changamoto ya kibali au mizimu inakufuatilia. Jitenge nazo na upate mafundisho sahihi ili ufunguliwe

View: https://youtu.be/w355_ZQZ18U?si=2Hv7EzjhGAqTE4eC
 
Hivi umemsoma mleta mada vizuri ukamwelewa?

Au unakuja kupachika maneno yako mengine uchwara?

Mleta mada amefafanua vizuri kabisa kwamba Ameshasali, ameomba, amefunga na kutoa sana sadaka lakini huyo Mungu hajawahi kumjibu.

Halafu wewe unakuja kumwambia hajui kuomba?

Kwanza ulijuaje na unathibitishaje kwamba mleta mada hajui kuomba?
 
Mngekuwa mnapambaniwa na huyo Mungu wenu wala hata msingehitaji kuja JF kuomba ushauri kutoka kwa watu wengine.

Mleta mada anahitaji kusaidiwa na sisi binadamu kwa vile huyo Mungu aliyekuwa anakesha kumuomba na kusali, Kashindwa na hawezi kumsaidia.
Binadamu atakusaidia nini,hapa ukiambiwa uchangie hata elfu 5 hutoi...
 
Huenda una changamoto ya kibali au mizimu inakufuatilia. Jitenge nazo na upate mafundisho sahihi ili ufunguliwe

View: https://youtu.be/w355_ZQZ18U?si=2Hv7EzjhGAqTE4eC

Utapeli ndio unaanza hivi hivi.

Una mwaminisha mtu kwamba ana mikosi, mizimu na mibalaa, Ili uanze kumhubiria habari uchwara za uponyaji kutaka hela zake na mali zake kama sadaka.

Mleta mada Bunchari kaa rada, Acha kupokea ushauri wa namna hii wa kwenda kwa manabii uchwara mwishowe uje upigwe hela zako.

Kaa chini, jitathmini na utambue kwamba..👇

You are your own provider and you are your own solutions in your life.
 
Back
Top Bottom