Miss_Mariaah
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 2,176
- 4,979
Kwanza kabisa hakikisha Moyo uko Safi unakuwa mweupeeee pee human kinyongo,hasira,uchungu,maumivu ,wivu mawazo mabaya....Then omba utakaso wa damu YA Yesu ikusafishe Na kukuondolea uovu omba Toba Na Rehema..Then Imani omba Kwa imanii pasipo Imani huwez pokea chochote usiwe Na Shaka Wala maswali unavoomba.....mwisho kabisa taja Jina la Yesu Kwa chochote unachoombaa taja litaje Jina la Yesu mara nyingi..Habari ndugu zangu
Naomba kuelekezwa namna ya kuomba maombi yangu yakajibiwa,kama kusali nasali sana,kufunga nafunga sana,kutoa sadaka natoa ila maisha yangu yameandamwa na magonjwa ya ajabu,kutofanikiwa na kukosa kazi
Sasa wapi ninakosea au mimi sijui kuomba ndugu zangu,kwani ninyi mnafanyaje?
Asanteni