Wenzangu mnaombaje mpaka maombi yenu yanajibiwa?

Wenzangu mnaombaje mpaka maombi yenu yanajibiwa?

Habari ndugu zangu

Naomba kuelekezwa namna ya kuomba maombi yangu yakajibiwa,kama kusali nasali sana,kufunga nafunga sana,kutoa sadaka natoa ila maisha yangu yameandamwa na magonjwa ya ajabu,kutofanikiwa na kukosa kazi

Sasa wapi ninakosea au mimi sijui kuomba ndugu zangu,kwani ninyi mnafanyaje?

Asanteni
Kwanza kabisa hakikisha Moyo uko Safi unakuwa mweupeeee pee human kinyongo,hasira,uchungu,maumivu ,wivu mawazo mabaya....Then omba utakaso wa damu YA Yesu ikusafishe Na kukuondolea uovu omba Toba Na Rehema..Then Imani omba Kwa imanii pasipo Imani huwez pokea chochote usiwe Na Shaka Wala maswali unavoomba.....mwisho kabisa taja Jina la Yesu Kwa chochote unachoombaa taja litaje Jina la Yesu mara nyingi..
 
Habari ndugu zangu

Naomba kuelekezwa namna ya kuomba maombi yangu yakajibiwa,kama kusali nasali sana,kufunga nafunga sana,kutoa sadaka natoa ila maisha yangu yameandamwa na magonjwa ya ajabu,kutofanikiwa na kukosa kazi

Sasa wapi ninakosea au mimi sijui kuomba ndugu zangu,kwani ninyi mnafanyaje?

Asanteni
Yesu alifundisha mkitaka kuomba msali sala ya baba yetu uliye mbinguni,

Sali baba yetu mara 7 then omba na amini imekuwa.

Jitahidi asubuhi na jioni bila kuchoka, lakini unapoomba cha kwanza unapaswa kushukuru kwa maana kuamka hai ni zawadi kubwa kuliko hayo unayoyaomba.

Na usisahau kuomba kwa jina la Yesu ndiye aliyekabidhiwa mamlaka.

Yani kama unavyomuona Mo Dewji ndio tajiri lakini baba yake mzazi ndio mwenye mali mzee Ghullum Dewji yupo hai lakini wenye njaa wote show zote anamaliza Mo Dewji ndio ameachiwa mamlaka ya Metl.

Nimetumia lugha rahisi uelewe maana kuna watu mpaka leo wanachanyikiwa hawajui Yesu ni nani, Yesu siyo Mungu lakini mamlaka yote amekabidhiwa yeye, unapomuomba Mungu kwa jina la Yesu utakuja kutowa ushuhuda hapa maombi yako yatajibiwa lakini si vile utakavyo wewe.
 
Huyo Mungu ameshindwa na Hawezi kuwajalia zawadi ya uhai, ulinzi na afya Maelfu ya watoto wachanga na wanawake wanaoteseka na kufa kwa vita, njaa, magonjwa na majanga mbalimbali ya asili duniani,

Halafu unasema huyo Mungu anajalia ulinzi na uhai?

Uhai gani?

Ulinzi gani?

Afya gani?View attachment 3088369
View attachment 3088362
Kwanza kama huyo Mungu yupo ni Mungu mkatili, Muovu na bandidu.

Anastahili kufurushwa, Hafai.
Son of the devil Wacha kuwapotosha watu Na upigwe Kwa Jina la Yesu
 
Nilichogundua kumbe JF Kuna wapinga Kristo pia...acheni kupotosha watu wa Mungu enyi wapinga Kristo mkiendelea hivi hukumu ya moto itawapata milele liogopeni Jina la Bwana.
 
Kwamba unaomba upone wakati huendi hospital?

Waomba upate pesa na kazi hufanyi?

Waomba biashara ikue wakati husaidii ukuaji wa hiyo biashara?

Waombea familia yako iwe bora wakati haujishughulishi katika ubora?

Waombea Amani wakati hautengenezi Amani?

Wataka ufaulu wakati hausomi
 
Nilichogundua kumbe JF Kuna wapinga Kristo pia...acheni kupotosha watu wa Mungu enyi wapinga Kristo mkiendelea hivi hukumu ya moto itawapata milele liogopeni Jina la Bwana.
Labda watakusikia Mimi mpaka wameanza kukosoa uandishi wangu eti sijui matumizi ya R na L

Mpaka naambiwa kua Mimi ni country bumpkin (yokel) 😂

Wabishi hao balaa wa na tumia nguvu kubwa

All in all,
Wamevurugukiwa MAONO. HATA SAULI ALIKUJA KUA MTUME PAULO. NANI ALIKUA NA MOYO MGUMU KAMA FARAO (FILAUNI) ni Jambo la muda TU kila goti litapigwa.
 
Ukweli wanaujua Sana sema shetani ametawala mioyo Yao ,wanadanganya watu Na kupotosha watu kuwa hakuna Mungu wanajua Sana kama Mungu yupo Ila wanadanganya watu....
 
Ukweli wanaujua Sana sema shetani ametawala mioyo Yao ,wanadanganya watu Na kupotosha watu kuwa hakuna Mungu wanajua Sana kama Mungu yupo Ila wanadanganya watu....
Wanajibraza sugarcane. Siku wakiwa kwenye magumu na wakahitaji msaada wa MUNGU huyu wanae mfanyia dhihaka hapa JF. Mungu ni mwema Sana na ni mwingi wa neema na rehema.
 
Matatizo yako mengi suluhisho lake halipo au haliwezi kupatikana kupitia njia unazotumia. Suluhu lake au ufumbuzi wake upo kichwani kwako au kupitia watu wengine endapo uta share nao.

Mf. Hata hapa kama ungebainisha baadhi ya changamoto ulizonazo kwa uwazi ungeweza kupata suluhu kupitia ushauri au mang'amuzi mbalimbali ambayo watu wanayo au kupewa msaada wa moja kwa moja.

Yapo matatizo ya kiafya au kiuchumi ambayo ni lazima yatatuliwe katika uhalisia physical.
Ukikuta changamoto zako hazijibiwi unavyotarajia basi jua ni kwa sababu suluhisho lake halipo kiimani bali ni lazima litatuliwe katika mazingira halisi au unapaswa ubadiri kabisa mtazamo wako juu ya hizo unazoziona kuwa ni changamoto, labda ni lesson fulani tuu juu ya makosa fulani ambayo yalifanywa au yanaendelea kufanywa nanyi na mnapaswa myarekebishe sio kiimani no bali kiuhalisia.
Ukitaka kusolve matatizo mengi kiurahisi jitafiti kwanza na kubali kuwa wewe ni chanzo cha hayo matatizo hayo, au umechangia kwa kiasi fulani uwepo wake au hukuchukua hatua stahiki ili kuzuia au kutatua matatizo hayo then utapata pa kuanzia.

Ila kama matatizo yako umewapa watu wakutafsirie chanzo chake.. Mf. Kwa kuwasikiliza wahubiri hawa wa kileo, jua umekwisha na suluhisho wanalokupa ni potofu na hayatakwisha kamwe bali kuongezeka maradufu. Usiwe na mawasiliano na Mungu kupitia watu wengine bali dhamiri na nafsi yako pekee ndio itakufundisha uhusiane vipi na muumba wako.
👍👍
 
Wanajibraza sugarcane. Siku wakiwa kwenye magumu na wakahitaji msaada wa MUNGU huyu wanae mfanyia dhihaka hapa JF. Mungu ni mwema Sana na ni mwingi wa neema na rehema.
Mungu gani mwema, mwingi wa neema na rehema, Anashindwa na hawezi kuwasaidia maelfu ya watoto na wakina mama wanaokufa kwa njaa, vita, magonjwa na majanga mbalimbali ya asili duniani??

M-Pox inapiga watoto huko Congo na huyo Mungu hawezi na Kashindwa kuwasaidia.

Halafu mnakuja hapa JF kuhubiri sifa uchwara za huyo Mungu ambaye kiuhalisia hayupo kusaidia chochote kile au mtu yeyote yule.
FB_IMG_1722976782305.jpg

Screenshot_20240322-225613_1.jpg

Huyo Mungu kama yupo aanze kwanza kuwasaidia hawa wakina mama.

Kisha ndio nitajua ana uwezo wa kunisaidia mimi.

Otherwise, Huyo Mungu kama yupo ni Mungu Muovu, Katili, Mbaya na Bandidu.

Huyo Mungu Hafai, Na anapaswa kufurushwa..
 
Bandiko zuri sana.Watu wengi wamekuwa wakitafuta sababu ni nini sababu za kutofunguliwa kuomba wanaomba lakin hawaoni mafanikio.kwa uelewa wangu iko hivi.
- Kumtafuta Mungu hilo liwe ndio lengo kuu katika maisha yako yote,awe amekupa au ajakupa ,awe amekubariki au hajakubariki lazima umwabudu Mungu.
-Uwe na utaratibu kuvunja roho za giza,imeandikwa,Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama bali juu ya giza hili juu ya jeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho.EFESO 6:11-14.Narudia tena mstari huu kipande hiki una maana sana katika ulimwengu wa roho.hapo sasa ndipo penye tatizo kuna vitu vilivyo juu yako katika ulimwengu wa roho.
- Cha kufanya sasa kila siku uwe na ratiba ya kufunja roho wabaya,maangano katika koo yako.Utaona unafunguliwa mpendwa Mungu ni wa wote kwanini usifunguliwe.Kwa jina la yesu Mungu akupe ufahamu huu utaona maajabu
 
Back
Top Bottom