Wenzetu mlioajiriwa na Jamhuri mmepata mshahara?

Wenzetu mlioajiriwa na Jamhuri mmepata mshahara?

Jamani hivyo vihela vyenu vya November vimetoka?
Am serious!!
Kipindi hichi

Hamtalipwaaa ,

Serikali imepeleka hela kwenye miradi ya maendeleo na tulikuwa na mchakato wa

Mkopo umekwama mahali

Hivyo muwe na subiria tuuu na taarifa zitatolewa kwenue .na msemaji mkuu wa serikali.
 
Wenzangu wa kuleee mmeona chochote au tumesahaulika naona tarehe zinapita tu (mmeelewa wakubwa)
 
Pamoja na majukumu, na Hali ngumu ya maisha mfumuko n.k

Jitahidi mshahara mmoja ukutane na mwingine(mfano mshahara was Nov ukutane na wa Dec) ,,,, panga budget zako vizuri !

Epuka madeni kwa mangi!
 
Back
Top Bottom