Wenzetu mlioajiriwa na Jamhuri mmepata mshahara?

Nimepata mshahara pungufu sijui hazina wamekosea au mimi ndiye ninamajanga na muuliza Afisa utumishi naye hajui kwanini nimepata kiasi hicho cha mshahara anasema nisubiri salary slip mwishoni mwa mwezi huu.
 
Mshahara huwa unatoka tarehe 22 kila mwezi lakini tangu jana mpaka sasa hola. Hawa watumishi wa umma wengi wanategemea salary ili waishi sasa mnavyowacheleweshea wanajijazia madeni madukani halafu pesa ikitoka yote inaishia kulipa madeni

Jambo jingine la msingi ebu kama wewe ni mfanyakazi wa serikali usitegemee mshahara tu jishugulishe kufanya biashara ndogondogo kama kuuza duka, huduma za fedha na mitandao, bodaboda hata kuuza pipi na karanga sio mbaya pia
 
Wakili msomi Gogoz akiwatetea wateja wake.😂😂😂😂
 
Pilipili sizozila zakuwashaje? very likely wewe ni mfanyakazi
 
Mshahara huwa unatoka tarehe 22 kila mwezi lakini tangu jana mpaka sasa hola. Hawa watumishi wa umma wengi wanategemea salary ili waishi sasa mnavyowacheleweshea wanajijazia madeni madukani halafu pesa ikitoka yote inaishia kulipa madeni

Jambo jingine la msingi ebu kama wewe ni mfanyakazi wa serikali usitegemee mshahara tu jishugulishe kufanya biashara ndogondogo kama kuuza duka, huduma za fedha na mitandao, bodaboda hata kuuza pipi na karanga sio mbaya pia
Naked Truth Bro.
 
Back
Top Bottom