Wenzetu mlioajiriwa na Jamhuri mmepata mshahara?

Wenzetu mlioajiriwa na Jamhuri mmepata mshahara?

Mshahara TAYARIII

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Mshahara bado
FB_IMG_16669656087892494.jpg
 
Nimepata mshahara pungufu sijui hazina wamekosea au mimi ndiye ninamajanga na muuliza Afisa utumishi naye hajui kwanini nimepata kiasi hicho cha mshahara anasema nisubiri salary slip mwishoni mwa mwezi huu.
Utakuwa umechangishwa kikao cha jana cha kumuazimia Bashiru bloangu,ukae kwa kutulia tu
 
Jamaa anayesema tayari anatupanga, katumwa atuamishe kwenye reli, mshahara wameubetia walimpa Argentina na Germany wamesepa nao, watumishi tutakoma
Hahahahahahahaaaaaa hahahaahha
 
Bashiru anasemaje Kwani??
Anasema nchi imechoka,inalipa mishaharakwa mafungu,ile tilioni moko iliyokopwa juzkat itakuwa ndio inafidia hilo gap,kazi ipo bloangu,tuombe sana Mola atunusuru,kaongea kwa uchungu sana ndotoni kwangu
 
Njoo tuuze Karanga na mayai ya kuchemsha, inalipa sana halafu tunafungua migahawa kikubwa kama KFC halafu tunakua Motivational Speakers. Kisha tunahamia CCM
 
Njoo tuuze Karanga na mayai ya kuchemsha, inalipa sana halafu tunafungua migahawa kikubwa kama KFC halafu tunakua Motivational Speakers. Kisha tunahamia CCM
Hao jamaa ni miyeyusho sana,jitele tu uingie kwenye mbanga hzo,utaimba haeluyaaaaa,😂😂😂😂
 
Ila kuna watu wana uongo mwingi sana....mbona mishahara tayari we umetoa wapi hizi habariiii

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂🤣🤣🤣😂🤣🤣🤣🤣🤣😂😂🤣🤣😂🤣🤣☻☻☻☻☻

Kumbe hili tatizo ni kubwa

Hamna kitu kama hicho

Serikali ya ina mahela bwana imejaaa Hazina zinabubujika tuuu

Na haiwezi kamwe kuacha kulipa mshahara ya watumishi
 
Back
Top Bottom