Wenzetu mlioajiriwa na Jamhuri mmepata mshahara?

Wenzetu mlioajiriwa na Jamhuri mmepata mshahara?

Ukitaka ujue mshahara umeingia ni hii thread kufa
Halafu watu wanasingizia Walimu kumbe huu uzi unasaidia kada Aina zote ..na ukiona huu uzi hauendelei ujie teyarii mpaka uchelewe Tena mwezi ujai ndo unafufuliwa jamani huu uzi hauwezi kufa
 
Back
Top Bottom