Wenzetu mlioajiriwa na Jamhuri mmepata mshahara?

Wenzetu mlioajiriwa na Jamhuri mmepata mshahara?

Kipindi hichi

Hamtalipwaaa ,

Serikali imepeleka hela kwenye miradi ya maendeleo na tulikuwa na mchakato wa

Mkopo umekwama mahali

Hivyo muwe na subiria tuuu na taarifa zitatolewa kwenue .na msemaji mkuu wa serikali.
Ila kuna watu wana uongo mwingi sana....mbona mishahara tayari we umetoa wapi hizi habariiii

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Pamoja na majukumu, na Hali ngumu ya maisha mfumuko n.k

Jitahidi mshahara mmoja ukutane na mwingine(mfano mshahara was Nov ukutane na wa Dec) ,,,, panga budget zako vizuri !

Epuka madeni kwa mangi!
Hii haiwezekani mkuu...tutakufa njaa
 
Back
Top Bottom