Kamwe hamtauona uzima wa milele,Huwa nawasumbua sana jamaa zangu wakati wa Mfungo (mwezi mtukufu) as if na mimi ni mfungaji..!
Napenda sana wanavyo kuwa wakarimu katika kipindi hiko..
Mapishi matamu yanayo ambatana na vinywaji Maridhawa (Uji wa Pilipili Manga)
Kimbembe ni pale inapo tufikia Kwarezima, huwa tunashindwa angalau kuonesha/kutoa ushirikiano.
Malipo ni hapa hapa Mkuu..!Kamwe hamtauona uzima wa milele,
Kama kweli utakuwepo.
Hautomtokea puani kwani anajua? Wewe ndio nafsi itakusuta daima halafu unajisifu kweli asiyejua maana .......Kuna mwenzio namlisha nyamafu hapa, mwaliko wa Krismasi utamtokea puani
Ww kama ni muislam dini yako haikuruhusu kusherehekea sikukuu yyt ya dini zngne..wakikunyima jua wanakusaidia...usilalamike..Haiwezi ikawa ni kubahatisha,
Sehemu kubwa ya msiokuwa Waislam
(Wengi wenu)
Ni wabinafsi, wachoyo,
Hamna haya na Mnapata dhambi linapokuja swala la kushereheka na marafiki pamoja na majirani hasa katika sherehe/sikukuu za kiimani
Mfano: Iddi,Pasaka,Krismas,Maulid n.k.
Nyie mabwana kwa mabibi, mmekuwa mahodari wa kujialika, tena wenyewe majumbani mwa Waislam katika sikukuu zao
Na Waislam bila ya hiyana wamekuwa wakiwapokea kwa mikono viwili na kupokonyana chochote kikichopo bila ya kubagua.
Achilia mbali kero zenu kipindi cha Ramadan,
Mara futari,mara Uji yaani shida.
Ila sasa kwenye sherehe zenu,
Kama hampo vile.
Aaa, acheni hizo.
Mkijua kula mjue na kuliwa basi.
La kama hamtaki vyenu kuliwa msirukwe na akili kwenye mapilau na mabiriani ya wenzenu.
Kweli Mimi wa kula kama kawaida siku ya Leo?
Poa tutakutana mwakani.
Ahahahahaa wewe si Islam nimekustukia, kwa nini utuchafue? unafaidika na nini?Kamwe hamtauona uzima wa milele,
Kama kweli utakuwepo.
bandiko lako limenichekesha, kweli wamekutenga?Haiwezi ikawa ni kubahatisha,
Sehemu kubwa ya msiokuwa Waislam
(Wengi wenu)
Ni wabinafsi, wachoyo,
Hamna haya na Mnapata dhambi linapokuja swala la kushereheka na marafiki pamoja na majirani hasa katika sherehe/sikukuu za kiimani
Mfano: Iddi,Pasaka,Krismas,Maulid n.k.
Nyie mabwana kwa mabibi, mmekuwa mahodari wa kujialika, tena wenyewe majumbani mwa Waislam katika sikukuu zao
Na Waislam bila ya hiyana wamekuwa wakiwapokea kwa mikono viwili na kupokonyana chochote kikichopo bila ya kubagua.
Achilia mbali kero zenu kipindi cha Ramadan,
Mara futari,mara Uji yaani shida.
Ila sasa kwenye sherehe zenu,
Kama hampo vile.
Aaa, acheni hizo.
Mkijua kula mjue na kuliwa basi.
La kama hamtaki vyenu kuliwa msirukwe na akili kwenye mapilau na mabiriani ya wenzenu.
Kweli Mimi wa kula kama kawaida siku ya Leo?
Poa tutakutana mwakani.
hiyo nn[emoji115] Tanganyika au?
Mwisho utaelewa tuMbao ana tabia mbaya,- kakukaza?
Mtaani kwenu kuna Chizi japo mmoja?Wala sijakuelewa labda uandike upya nahisi umejam
Vipi kitimoto kilo moja na nusu, si itapendeza!Kamuulize mkweo.