Wenzetu sikukuu zenu mnatuvunja moyo.

Wenzetu sikukuu zenu mnatuvunja moyo.

Huwa nawasumbua sana jamaa zangu wakati wa Mfungo (mwezi mtukufu) as if na mimi ni mfungaji..!

Napenda sana wanavyo kuwa wakarimu katika kipindi hiko..

Mapishi matamu yanayo ambatana na vinywaji Maridhawa (Uji wa Pilipili Manga)

Kimbembe ni pale inapo tufikia Kwarezima, huwa tunashindwa angalau kuonesha/kutoa ushirikiano.
Kamwe hamtauona uzima wa milele,
Kama kweli utakuwepo.
 
Haiwezi ikawa ni kubahatisha,
Sehemu kubwa ya msiokuwa Waislam
(Wengi wenu)
Ni wabinafsi, wachoyo,
Hamna haya na Mnapata dhambi linapokuja swala la kushereheka na marafiki pamoja na majirani hasa katika sherehe/sikukuu za kiimani
Mfano: Iddi,Pasaka,Krismas,Maulid n.k.

Nyie mabwana kwa mabibi, mmekuwa mahodari wa kujialika, tena wenyewe majumbani mwa Waislam katika sikukuu zao
Na Waislam bila ya hiyana wamekuwa wakiwapokea kwa mikono viwili na kupokonyana chochote kikichopo bila ya kubagua.
Achilia mbali kero zenu kipindi cha Ramadan,
Mara futari,mara Uji yaani shida.
Ila sasa kwenye sherehe zenu,
Kama hampo vile.
Aaa, acheni hizo.

Mkijua kula mjue na kuliwa basi.

La kama hamtaki vyenu kuliwa msirukwe na akili kwenye mapilau na mabiriani ya wenzenu.

Kweli Mimi wa kula kama kawaida siku ya Leo?
Poa tutakutana mwakani.
Ww kama ni muislam dini yako haikuruhusu kusherehekea sikukuu yyt ya dini zngne..wakikunyima jua wanakusaidia...usilalamike..
 
Wala sijakuelewa labda uandike upya nahisi umejam
 
Haiwezi ikawa ni kubahatisha,
Sehemu kubwa ya msiokuwa Waislam
(Wengi wenu)
Ni wabinafsi, wachoyo,
Hamna haya na Mnapata dhambi linapokuja swala la kushereheka na marafiki pamoja na majirani hasa katika sherehe/sikukuu za kiimani
Mfano: Iddi,Pasaka,Krismas,Maulid n.k.

Nyie mabwana kwa mabibi, mmekuwa mahodari wa kujialika, tena wenyewe majumbani mwa Waislam katika sikukuu zao
Na Waislam bila ya hiyana wamekuwa wakiwapokea kwa mikono viwili na kupokonyana chochote kikichopo bila ya kubagua.
Achilia mbali kero zenu kipindi cha Ramadan,
Mara futari,mara Uji yaani shida.
Ila sasa kwenye sherehe zenu,
Kama hampo vile.
Aaa, acheni hizo.

Mkijua kula mjue na kuliwa basi.

La kama hamtaki vyenu kuliwa msirukwe na akili kwenye mapilau na mabiriani ya wenzenu.

Kweli Mimi wa kula kama kawaida siku ya Leo?
Poa tutakutana mwakani.
bandiko lako limenichekesha, kweli wamekutenga?
 
Shida nikikualika utaanza tena kuleta habari yako ya Kuku nimemchinja mimi kwa nini na Vyombo vyangu huwa napikia na kupakulia nguruwe. We kama wataka kula pitia mbona imam wako anakujaga bila mualiko?

Mafunzo ya Itikadi Kali kwa Waislamu yamepigwa marufuku na mufti Zuberi kwenye Fatwa aliyoitoa hivi karibuni.
 
Heeeeee!!! Jamani shida sio kualikwa shida vyuma, vyuma baba vimeshika kutu hata grisi haioni ndani.
 
Wala sijakuelewa labda uandike upya nahisi umejam
Mtaani kwenu kuna Chizi japo mmoja?

Kama yupo basi wewe ni wa pili baada yake.

La kama hakuna kabisa,
Sadiki ya kuwa wewe ndie Chizi pekee hapo (Shangilia!!)

Yaani wote hao wanaojadili Uzi huu wanajadili kisichoeleweka, kweli?

Wallahi! Una kitanda Milembe wewe si bureeee.
 
Back
Top Bottom