dalalitz
JF-Expert Member
- Sep 6, 2013
- 3,423
- 1,987
- Thread starter
- #61
Kamwe hamtauona uzima wa milele,Huwa nawasumbua sana jamaa zangu wakati wa Mfungo (mwezi mtukufu) as if na mimi ni mfungaji..!
Napenda sana wanavyo kuwa wakarimu katika kipindi hiko..
Mapishi matamu yanayo ambatana na vinywaji Maridhawa (Uji wa Pilipili Manga)
Kimbembe ni pale inapo tufikia Kwarezima, huwa tunashindwa angalau kuonesha/kutoa ushirikiano.
Kama kweli utakuwepo.