Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kitimoto Tukishushia na castle baridi utaipenda!Itampendeza Nyanya 'ako.
Uko tayari kula "Kitimoto?" Karibu sana kwanguHaiwezi ikawa ni kubahatisha,
Sehemu kubwa ya msiokuwa Waislam
(Wengi wenu)
Ni wabinafsi, wachoyo,
Hamna haya na Mnapata dhambi linapokuja swala la kushereheka na marafiki pamoja na majirani hasa katika sherehe/sikukuu za kiimani
Mfano: Iddi,Pasaka,Krismas,Maulid n.k.
Nyie mabwana kwa mabibi, mmekuwa mahodari wa kujialika, tena wenyewe majumbani mwa Waislam katika sikukuu zao
Na Waislam bila ya hiyana wamekuwa wakiwapokea kwa mikono viwili na kupokonyana chochote kikichopo bila ya kubagua.
Achilia mbali kero zenu kipindi cha Ramadan,
Mara futari,mara Uji yaani shida.
Ila sasa kwenye sherehe zenu,
Kama hampo vile.
Aaa, acheni hizo.
Mkijua kula mjue na kuliwa basi.
La kama hamtaki vyenu kuliwa msirukwe na akili kwenye mapilau na mabiriani ya wenzenu.
Kweli Mimi wa kula kama kawaida siku ya Leo?
Poa tutakutana mwakani.
Ulipofika sipo mkuu, hilo linapikwa huko utaliita pilau? Kwa taarifa yako katika wapishi mia wa pilau leo watano ndio wanapika pilau waliobaki wote makande, unalijua pilau wewe [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mnawaita makafiri halafu bado mnatamani pilau zao?
Pumbavu sana!
Dalili za "sizitaki mbichi hizi".Ulipofika sipo mkuu, hilo linapikwa huko utaliita pilau? Kwa taarifa yako katika wapishi mia wa pilau leo watano ndio wanapika pilau waliobaki wote makande, unalijua pilau wewe [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Wewe ni muislam sio bureKusema ukweli waislam ni tofauti sana na wakristo kwenye sherehe za kidini. Waislam ni wakarim sana na nadhani kwao ni sehemu ya ibada. Mimi ninajirani yangu muislam nyakati za sikukuu za kiislam hata nisipoenda au niwe nimetoka lazima analeta chakula nyumbani tena cha nguvu unless niwe nimekwenda.
Mimi ni mkristo mkuu ila ukweli wale jamaa sikukuu zao huwa wakarimu sana na mara nyingi huwa wanalia chakula nje na kumkarim kila apitaye.Wewe ni muislam sio bure
HajielewiWw kama ni muislam dini yako haikuruhusu kusherehekea sikukuu yyt ya dini zngne..wakikunyima jua wanakusaidia...usilalamike..