Wenzetu sikukuu zenu mnatuvunja moyo.

Wenzetu sikukuu zenu mnatuvunja moyo.

huu utamaduni wa kwenda kuhesabiwa mwisho wa mwaka ndo umeharibu, jamaa zako wengi wamekukimbia wako huko wanakula makorokocho,
 
Nakumbusha tuu wale ndugu zangu waislam ambao hamkunialika skukuu ya iddy niliwaambiaga december cyo mbali

Ubaya ubaya tuu
 
Mtoa mada acha kuumiza kichwa vitu vya kiboya [emoji23] [emoji1] usiforce kila mtu asherekee sikukuu wengine hawana hela...
 
Haiwezi ikawa ni kubahatisha,
Sehemu kubwa ya msiokuwa Waislam
(Wengi wenu)
Ni wabinafsi, wachoyo,
Hamna haya na Mnapata dhambi linapokuja swala la kushereheka na marafiki pamoja na majirani hasa katika sherehe/sikukuu za kiimani
Mfano: Iddi,Pasaka,Krismas,Maulid n.k.

Nyie mabwana kwa mabibi, mmekuwa mahodari wa kujialika, tena wenyewe majumbani mwa Waislam katika sikukuu zao
Na Waislam bila ya hiyana wamekuwa wakiwapokea kwa mikono viwili na kupokonyana chochote kikichopo bila ya kubagua.
Achilia mbali kero zenu kipindi cha Ramadan,
Mara futari,mara Uji yaani shida.
Ila sasa kwenye sherehe zenu,
Kama hampo vile.
Aaa, acheni hizo.

Mkijua kula mjue na kuliwa basi.

La kama hamtaki vyenu kuliwa msirukwe na akili kwenye mapilau na mabiriani ya wenzenu.

Kweli Mimi wa kula kama kawaida siku ya Leo?
Poa tutakutana mwakani.
Uko tayari kula "Kitimoto?" Karibu sana kwangu
 
Mnawaita makafiri halafu bado mnatamani pilau zao?

Pumbavu sana!
Ulipofika sipo mkuu, hilo linapikwa huko utaliita pilau? Kwa taarifa yako katika wapishi mia wa pilau leo watano ndio wanapika pilau waliobaki wote makande, unalijua pilau wewe [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Dalili za "sizitaki mbichi hizi".
 
Kusema ukweli waislam ni tofauti sana na wakristo kwenye sherehe za kidini. Waislam ni wakarim sana na nadhani kwao ni sehemu ya ibada. Mimi ninajirani yangu muislam nyakati za sikukuu za kiislam hata nisipoenda au niwe nimetoka lazima analeta chakula nyumbani tena cha nguvu unless niwe nimekwenda.
 
Wewe ni muislam sio bure
 
Sikukuu za Nguruwe hizi mjomba, hacha tujilie wenyewe. Sisi wezenu Najisi ni kimtokacho mtu mwilini na sio alacho.
 
Unaishije na majirani zako mtaani kwenu mkuu ? Tuanzie hapo
 
Back
Top Bottom