Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Utaratibu wake ukoje mkuu?Hamia Ghana sasa
MbulukengeHamia Ghana sasa
Subirini hapo hapo Ufipa mtaletewa chanjo kutoka China!View attachment 1717157
kama wote mlivyokwisha sikia kwamba kuna maeneo bila kuwa na ushahidi kwamba umechanjwa ili kujikinga na Corona hutakanyaga wala kutia pua yako , basi nchi zilizostaarabika na kuamua kufuata mwongozo wa WHO zimeanza kuwapa kadi za uthibitisho wa chanjo raia wake waliochanjwa ili wawe huru kupokelewa popote waendapo duniani .
Swali : Je sisi Watanzania wengine ambao ni wafanyabiashara wa Kimataifa , tunaolazimika kusafiri hapa na pale duniani kwa sababu za kibiashara tufanyeje ?
Wanatoa na kadi?Tuendelee kujifukiza kwa nguvu zoteee
Very soon mataga mtakiri Yesu ni bwana na mtakua mstari wa mbele kupata chanjo.Hamia Ghana sasa
Hahahhahaha kadi nadhani ni kiwango cha jasho lako wkt wa mfukizoWanatoa na kadi?
Eee bhana eeee !!!Shauri yao vibaraka hao, sisi hatuzihitaji humu nchini mwetu, kama ni safari, safari ya kwenda wapi! Kila kitu tunacho.
Maradhi tuliyonayo huku siyo Korona ni kupumua tu ambayo yanatibika na tangawizi ukichanganya na ndimu, sasa chanjo ya Korona itayakinga vipi?
Sasa itakuwaje , nashangaa kuwaona viongozi wakuuu wa dini ya kiislam wanapinga chanjo, na huko macca mwaka huu bila kuwa umepata chanjo ni marufuku kutia mguu!!kwenda kuhij!!akili hizi bwana yaani dunia nzima waende clockwise, wewe tena kiinchi maskini, ujifanye eti kwenda anticlockwise?? Mala eti ni vita ya kiuchumi!!!kwa kitu gani ulichonacho?yaani USA, awe na vita ya kiuchumi na CHINA, anaweza kuwa na vita na wewe!!Hii ndiyo tofauti kati ya nchi zenye Marais wenye weledi na nchi yenye Rais mataputapu.Imagine wewe ni mfanyabiashara wa kimataifa halafu unakumbuna na hili!
Nadhani sasa BAKWATA itajianika zaidi , kwamba lengo lao si Allah bali lengo lao kuu ni Hela wanazopewa barabarani bila utaratibu na kujengewa misikiti .Sasa itakuwaje , nashangaa kuwaona viongozi wakuuu wa dini ya kiislam wanapinga chanjo, na huko macca mwaka huu bila kuwa umepata chanjo ni marufuku kutia mguu!!kwenda kuhij!!akili hizi bwana yaani dunia nzima waende clockwise, wewe tena kiinchi maskini, ujifanye eti kwenda anticlockwise?? Mala eti ni vita ya kiuchumi!!!kwa kitu gani ulichonacho?yaani USA, awe na vita ya kiuchumi na CHINA, anaweza kuwa na vita na wewe!!
Bila kusahau maombiTuendelee kujifukiza kwa nguvu zoteee
Hata asipochaguliwa anaforge kura na kuongeza mitano tena. Kupatwa kwa nchi ya Tanzania.Hii ndiyo tofauti kati ya nchi zenye Marais wenye weledi na nchi yenye Rais mataputapu.Imagine wewe ni mfanyabiashara wa kimataifa halafu unakumbuna na hili!