Wenzetu waanza kupewa kadi za kuthibitisha wamepata chanjo ya Corona kama Jumuiya ya Kimataifa inavyoelekeza

Wenzetu waanza kupewa kadi za kuthibitisha wamepata chanjo ya Corona kama Jumuiya ya Kimataifa inavyoelekeza

Tuendelee kusali na kutubu madhambi yetu bhandugu! Yanatengenezwa mazingira ya Chapa ile iliyozungumziwa, badae tutaambiwa kadi zinapotea kwahiyo inabidi chapa ipigwe mkononi au kwenye vipaja vya uso[emoji16][emoji16] keep praying [emoji120] kujifukiza ni mhimu sanaaaa.

HATUTAKI CHANJOOOOO
Kama ni chapa tulishapigwa kitambo tu maana wabongo wote alama ya chanjo begani ipo.
 
Ile kachumbari ya Madagascar ya kina Kabudi waliipeleka wapi tuwape NHIF
2393187_20200508_170418.jpg
 
Kama ni chapa tulishapigwa kitambo tu maana wabongo wote alama ya chanjo begani ipo.
Bado ile ya kuonyesha ili upewe huduma fulani, hutanunua wala kuuza bila hiyo chapa, hutacheza na wenzako bila hiyo kitu, hutasafiri bila hiyo, sasa ndo sasa imekuja taratibu kimafumbo ili ikigeuzwa kwamba tupgiwe mikononi hakuna mtu ataamini kama ni kamchezo ka chapa, zaidi zaidi wengi wataona afadhali mana walikuwa wanateseka kutembea na kadi zao, na kuna muda hizo kadi zinapotea😁, mkuu hatutaelewa haraka haraka mana mwenyezi Mungu huwafanya watu kuwa na mioyo migumu ili maandiko yatimie mf Farao alipewa moyo mgumu ili maandiko yatimie, Petro kumkana Yesu hakukusudia ila alipewa moyo mgumu bc ili maandiko ya jogoo kuwika yatimie😁😁😁
 
Bado ile ya kuonyesha ili upewe huduma fulani, hutanunua wala kuuza bila hiyo chapa, hutacheza na wenzako bila hiyo kitu, hutasafiri bila hiyo, sasa ndo sasa imekuja taratibu kimafumbo ili ikigeuzwa kwamba tupgiwe mikononi hakuna mtu ataamini kama ni kamchezo ka chapa, zaidi zaidi wengi wataona afadhali mana walikuwa wanateseka kutembea na kadi zao, na kuna muda hizo kadi zinapotea[emoji16], mkuu hatutaelewa haraka haraka mana mwenyezi Mungu huwafanya watu kuwa na mioyo migumu ili maandiko yatimie mf Farao alipewa moyo mgumu ili maandiko yatimie, Petro kumkana Yesu hakukusudia ila alipewa moyo mgumu bc ili maandiko ya jogoo kuwika yatimie[emoji16][emoji16][emoji16]
Kwahio Magu ndio anawaokoa na huyo mpiga chapa sio mkuu?
 
Hivi ikija kuthibitika kwamba hizo chanjo zinavunja nguvu za kiume,,kupelekea uume wa aliyepata chanjo kutosimama milele ,,

itakuwaje?

Watu hatujakataa chanjo ,,bali tuone utendaji wake kwa waliochanjwa kama hauna athari zozote ktk mwili wa binadamu..

Dismiss case.
 
Huwezi kugundua leo wala kesho but ni suala la muda🤣🤣🤣, wanaweza kutupandikiza na genetics nyingine Africa yote ikawa na madubwana ya ajabu ambayo watakuwa wanayakonturo wenyewe🤣🤣🤣🤣
 
Hivi ikija kuthibitika kwamba hizo chanjo zinavunja nguvu za kiume,,kupelekea uume wa aliyepata chanjo kutosimama milele ,,

itakuwaje?

Watu hatujakataa chanjo ,,bali tuone utendaji wake kwa waliochanjwa kama hauna athari zozote ktk mwili wa binadamu..

Dismiss case.
na kwa wanawake wao watavunjika nguvu zipi ?
 
Kama wote mlivyokwisha sikia kwamba kuna maeneo bila kuwa na ushahidi kwamba umechanjwa ili kujikinga na Corona hutakanyaga wala kutia pua yako, basi nchi zilizostaarabika na kuamua kufuata mwongozo wa WHO zimeanza kuwapa kadi za uthibitisho wa chanjo raia wake waliochanjwa ili wawe huru kupokelewa popote waendapo duniani.

Swali: Je, sisi Watanzania wengine ambao ni wafanyabiashara wa Kimataifa, tunaolazimika kusafiri hapa na pale duniani kwa sababu za kibiashara tufanyeje?

COVID 19 vaccination
1. Does neither increse nor enhance human immunity against the infection
2. Does not prevent the spread of the virus
3. Does not prevent from getting sick
4. Does not eliminate the need to wear mask, washing hands, social distancing
5. Does not guarantee health safety

The vaccination is useless; it is just a laboratory platform to practice the research on how the viral works and possibility to be battled.
 
Umetoa wapi hii ?
 
Huwezi kugundua leo wala kesho but ni suala la muda[emoji1787][emoji1787][emoji1787], wanaweza kutubandikiza na genetics nyingine Africa yote ikawa na madubwana ya ajabu ambayo watakuwa wanayakonturo wenyewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hakika Mkuu,,, mambo hayo fukirishi sana..

Mimi bora nikose PESA lakini mzigo upige speed km 200 kwa nusu saa..

Pesa zinatafutwa,,,nguvu utazipata wapi?
 
Back
Top Bottom