Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatari yake nini ?Tanzania isiingie kwenye huu mtego wa majaribio,
sikubali kupigwa hii chanjo ni hatari sana
Haya ndo madhara ya kuongozwa na "Juha" , Mshamba, Mburula nk..Hii ndiyo tofauti kati ya nchi zenye Marais wenye weledi na nchi yenye Rais mataputapu.Imagine wewe ni mfanyabiashara wa kimataifa halafu unakumbuna na hili!
CCM kwa uwezo wa wizi wa kura, na fojali ya chaguzi ni Kweli wanaweza foji Kadi HIZO na hata kupora kama walivyopora oktoba last year !Kibongobongo hiyo kadi mbona inafojika vizuri tu!!
Kinachofurahisha ni kuwa ikitokea kesho Magufuli anatangaza kuikubali chanjo, nyie ndio mtakuwa mstari wa mbele kumpamba na kuimba mapambio ya kumsifuSubirini hapo hapo Ufipa mtaletewa chanjo kutoka China!
hatari yake ni kwamba bado ni chanjo za majaribio, hakuna uhakika juu ya chanjo hizi ndio maana hata baadhi ya mataifa yaliyo tengeneza chanjo hizi kama vile Ujerumani, ufaransa na hata Marekani yenyewe bado wanamalumbano makali sana juu ya uhakika wa chanjo hizi ipi inafaa ipi haifai, bado ni majadala,Hatari yake nini ?
Ni wapi shehe Ponda na shura ya maimamu wamepinga chanjo?Sasa itakuwaje , nashangaa kuwaona viongozi wakuuu wa dini ya kiislam wanapinga chanjo, na huko macca mwaka huu bila kuwa umepata chanjo ni marufuku kutia mguu!!kwenda kuhij!!akili hizi bwana yaani dunia nzima waende clockwise, wewe tena kiinchi maskini, ujifanye eti kwenda anticlockwise?? Mala eti ni vita ya kiuchumi!!!kwa kitu gani ulichonacho?yaani USA, awe na vita ya kiuchumi na CHINA, anaweza kuwa na vita na wewe!!
Timu za mpira zitazuiwa kushiriki michuano.Tanzania isiingie kwenye huu mtego wa majaribio,
sikubali kupigwa hii chanjo ni hatari sana
HayaBado chanjo haijapatikana
Unapozungumzia viongozi wakuu wa waislamu nchi hii, unamzungumzia shehe ponda?shehe ponda anajitambua ndio maana una muona hivyo alivyo.Ni wapi shehe Ponda na shura ya maimamu wamepinga chanjo?
Dikteta sijui kwanini anakataa na wakati ni hiari ya mtu
Mkuu anaweza kuwatengenezea mecca yao hapa hapa bongo ili wahiji na pia kuleta fedha za kigeni maana sisi ni nchi tajiriiii.Sasa itakuwaje , nashangaa kuwaona viongozi wakuuu wa dini ya kiislam wanapinga chanjo, na huko macca mwaka huu bila kuwa umepata chanjo ni marufuku kutia mguu!!kwenda kuhij!!akili hizi bwana yaani dunia nzima waende clockwise, wewe tena kiinchi maskini, ujifanye eti kwenda anticlockwise?? Mala eti ni vita ya kiuchumi!!!kwa kitu gani ulichonacho?yaani USA, awe na vita ya kiuchumi na CHINA, anaweza kuwa na vita na wewe!!
Unadhani hicho kitambulisho cha mmachinga?Kibongobongo hiyo kadi mbona inafojika vizuri tu!!
Wewe ni mwanasayansi?Tukiachana na ushabiki... Kwenye hili la chanjo, ninachokiona mimi ni MAJARIBIO YA CHANJO