Wenzetu waanza kupewa kadi za kuthibitisha wamepata chanjo ya Corona kama Jumuiya ya Kimataifa inavyoelekeza

Kama ni chapa tulishapigwa kitambo tu maana wabongo wote alama ya chanjo begani ipo.
 
Kama ni chapa tulishapigwa kitambo tu maana wabongo wote alama ya chanjo begani ipo.
Bado ile ya kuonyesha ili upewe huduma fulani, hutanunua wala kuuza bila hiyo chapa, hutacheza na wenzako bila hiyo kitu, hutasafiri bila hiyo, sasa ndo sasa imekuja taratibu kimafumbo ili ikigeuzwa kwamba tupgiwe mikononi hakuna mtu ataamini kama ni kamchezo ka chapa, zaidi zaidi wengi wataona afadhali mana walikuwa wanateseka kutembea na kadi zao, na kuna muda hizo kadi zinapotea😁, mkuu hatutaelewa haraka haraka mana mwenyezi Mungu huwafanya watu kuwa na mioyo migumu ili maandiko yatimie mf Farao alipewa moyo mgumu ili maandiko yatimie, Petro kumkana Yesu hakukusudia ila alipewa moyo mgumu bc ili maandiko ya jogoo kuwika yatimie😁😁😁
 
Kwahio Magu ndio anawaokoa na huyo mpiga chapa sio mkuu?
 
Hivi ikija kuthibitika kwamba hizo chanjo zinavunja nguvu za kiume,,kupelekea uume wa aliyepata chanjo kutosimama milele ,,

itakuwaje?

Watu hatujakataa chanjo ,,bali tuone utendaji wake kwa waliochanjwa kama hauna athari zozote ktk mwili wa binadamu..

Dismiss case.
 
Huwezi kugundua leo wala kesho but ni suala la muda🤣🤣🤣, wanaweza kutupandikiza na genetics nyingine Africa yote ikawa na madubwana ya ajabu ambayo watakuwa wanayakonturo wenyewe🤣🤣🤣🤣
 
na kwa wanawake wao watavunjika nguvu zipi ?
 
COVID 19 vaccination
1. Does neither increse nor enhance human immunity against the infection
2. Does not prevent the spread of the virus
3. Does not prevent from getting sick
4. Does not eliminate the need to wear mask, washing hands, social distancing
5. Does not guarantee health safety

The vaccination is useless; it is just a laboratory platform to practice the research on how the viral works and possibility to be battled.
 
Umetoa wapi hii ?
 
Hakika Mkuu,,, mambo hayo fukirishi sana..

Mimi bora nikose PESA lakini mzigo upige speed km 200 kwa nusu saa..

Pesa zinatafutwa,,,nguvu utazipata wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…