Wenzetu waanza kupewa kadi za kuthibitisha wamepata chanjo ya Corona kama Jumuiya ya Kimataifa inavyoelekeza

nyie wabongo mlioshindwa kutengeneza hata pamba ya kuoshea vidonda mnapata wapi ujasiri wa kuipinga chanjo ya corona Masikini wakubwa nyie !
Masikini ni wewe, uliyekimbia Kyela na kuchagua upayukaji usio na uhakika ni kitu hasa huwa unakitaka na kutoka wapi?

Hakuna mtu aliyekuzuia kuvuka mpaka kwenda nchi jirani kudungwa virusi vya UVIKO ili uweze kwenda popote, kununua chochote, popote na kwa unafuu kwa kuwa utakuwa umesajiliwa rasmi wewe ni sehemu ya kimelea cha virusi sumbufu kwa afya ya binadamu. [Vector
 
Umeshawahi kutengeneza chanjo yoyote?
 
I guess,
Hapa kwetu ikiamuliwa watu wapigwe chanjo basi tutalipishwa kama ID kadi za wamachinga.
 
Ko we unajua Bible kuliko Mzungu aliyeileta? Ebu rudia kufikiri
 
Tunahitaji vijana wa TISS wenye weledi watengeneze card million 60 kwa ajili ya watanzania, kenya, rwanda, burundi na ethiopia
 
Najipanga kwenda Kenya jirani hapo no matter what.
 
Najipanga kwenda Kenya jirani hapo no matter what.

Vuta subira kwasababu hivi sasa allocation yao ya chanjo ni ndogo sana ukilinganisha na population yao; hiyo haitakuwa rahisi kwa wakimbizi kuhudumiwa!!
 
Vuta subira kwasababu hivi sasa allocation yao ya chanjo ni ndogo sana ukilinganisha na population yao; hiyo haitakuwa rahisi kwa wakimbizi kuhudumiwa!!
Ndio nilikuwa nasoma hapa habari zao, wamesema wataanza na special groups like watumishi wa umma, taasisi za kimataifa then wengine sawa mkuu, wacha nivute subira. Ila watanzania wameamua kuweka maisha yao rehani kwasababu ya mtu mmoja anayejiita mwanasansi alafu hafuati taratibu za kisayansi na wengine wote kutetea matumbo yao wanatii. Sasa Kuna haja gani ya kujisifia na elimu yake? And above all hii nchi sio ya kifalme...
 
Wananchi wa China wanakipinga hiko kipimo maana kinawadhalilisha. Sasa serikali yao sijui imeamuaje kuhusu huko kipimo so far...
 
Tunahitaji vijana wa TISS wenye weledi watengeneze card million 60 kwa ajili ya watanzania, kenya, rwanda, burundi na ethiopia
Hao uwezo wao ni kuiba kura tu kwa kushirikiana na Tume ya uchaguzi
 
Kama ungekuwepo miaka hiyo chanjo ya polio inagunduliwa, usingeandika hiki!!vile vile miaka kama minne nyuma wakati chanjo ya ebola inagunduliwa watu kama wewe walikuwa wengi sana!!lakini kwa sasa hawana la kusema!!zama hizi teknolojia imekuwa kubwa sana, na kuna viwanda vingi, na kila kiwanda kina wataalam wake, ndio maana kuna chanjo inatolewa mala moja tu na sio mala mbili, kwenye hizi za covid 19!!leo si nimeona mmezindua LI JI MTAMBO LA NYINGU pale muhimbili?!!hongereni sana!!!sayansi ni sayansi tu, sio elimu ya siasa!!
 
Inaonekanaa hujui unachoandika.


1. Katika historia ya chanjo duniani, ni chanjo gani imewahi kugundulika ndani ya mwaka mmoja tangia ugonjwa ujitojeze?


2. Una uhakika unachanjwa mara moja ? , Kuna chanjo hapo Us unachanjwa mara 2
 
Za china na Mrusi ila sio za mabesti wake mbeligiji
Hahaaaa!!misaada ya kuendesha nchi mabest zake lisu ndio mnawategemea, mikopo karibia asilimia 80 ni wao!!hao warusi na wachina wanakuwa wapi?!!ni suala la muda tu, maji lazima myaite mmaa!!eti vita ya kiuchumi nani awe na vita vya kiuchumi na nchi ambayo hadi vyoo tu vya shule ni msaada?!!eti omba omba anampiga mkwala tajiri!!
 
Inaonekanaa hujui unachoandika.


1. Katika historia ya chanjo duniani, ni chanjo gani imewahi kugundulika ndani ya mwaka mmoja tangia ugonjwa ujitojeze?


2. Una uhakika unachanjwa mara moja ? , Kuna chanjo hapo Us unachanjwa mara 2
Ndio tatizo la kuwa na akili za kushikiwa bila kutumia za kwako, kwa hiyo kama miaka hiyo chanjo nyingi zilitumia miaka10-15, kugunduliwa, lakini chanjo ya ebola ilitumia kama miaka mitano tu ikapatikana toka ugonjwa uingie!!kila siku watu wanaumiza vichwa na elewa kwenye chanjo kama ni ugonjwa wa mlipuko, huwa kuna namna yake, ya hatua ya chanjo hiyo lazimie izipitie, na kuna nyingine sio lazima.
Chanjo ya kampuni ya johnson&johnson ni chanjo moja tu, mtu harudii na ni kutokana na ufanisi wake, lakini hizo nyingine , lazima urudie kutokana na ufanisi wake, kuwa sio wa kiwango cha juu sana!!na kwenye chanjo ni vitu vya kawaida tu!sasa kumbe hata mambo madogo tu hayo hujui, HIYO TOGWA YENU UNAKUNYWA DOSE NGAPI?
 
Na tumewapapasa mabest zake Lisu wamefanya nini? Makeyboard warrior mnafurahisha sana .........bado mitano tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…