Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,088
- 6,384
We, tena unikome
huu ni uchokozi taslimu, mi sikumtelekeza my Lily Flower tulikubaliana yeye aende Tanga akamsalimie Babu yetu Dark City, afu mi nibaki na watoto kwakuwa hausigeli wetu alikuwa kwenye kwaya na Mr Rocky
Daaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhhhhhhhh......
Ukiwa wakili halafu ukakutana na kesi kama hii...unacheka kama vile umeguswa kwenye starter......!!
Yaani ulimwacha my wife wako aondoke na wewe ukabaki home na beki tatu??
Hii kesi ni ya kufungulia mwaka....Ngoja lily Flowe na Mr Rocky waje kwanza...
Babu DC!!
Mkuu kama ni kesi basi my waifu Lily Flower atajibu kwa sabu ndo kaniachia watoto, huku kamruhusu beki tatu wetu sweetlady kwenda kuimba kwaya na Mr Rocky. au hujui sikuizi kuna mfumo jike?
Hapa huwezi kutoka kirahisi Mungi,
Wewe ndiye baba mwenye nyumba na lazima uwe responsible kwa kila kitu...
Labda kama nimekuwa outdated!
Babu DC!!
sweetlady tupo naye afu bado unasema ananisalimia.................. yupo jikoni mda huu ndo maana ameshindwa kukuja kwenye kwaya
Daaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhhhhhhhh......
Ukiwa wakili halafu ukakutana na kesi kama hii...unacheka kama vile umeguswa kwenye starter......!!
Yaani ulimwacha my wife wako aondoke na wewe ukabaki home na beki tatu??
Hii kesi ni ya kufungulia mwaka....Ngoja lily Flowe na Mr Rocky waje kwanza...
Babu DC!!
Lily Flower hilo ndilo linaloitwa fumanizi. Mungi kazi kwako!
Mkuu Arushaone mbona huo usemi ni wa kawaida tu? naamini my Lily Flower hakumaanisha unachokiwaza
Mimi na Lily Flower tumefunga ndoa. kwahiyo maombi ya Vin Diesel hayatakuwa na baraka za Mungu
Huo usemi naamini ulibaki kwenye keyboard
Maombi yangu ni ndoa ya Lily Flower na wewe Mungi idumu huku 'urafiki' wangu na Lily Flower ukizidi imarika pia...
Maombi yangu ni kuwa siku moja Lily Flower aje awe nyumba yangu ndogo na Mungi awekwe selo maisha
Vin Diesel apotelee misitu ya kongo kule kwa M23 ili nae Mamndenyi awe house gal wetu
Ayaa zile dawa za TA Lily Flower kumbe umemnywesha Mungi mapema ivo?
Taarifa zako sweetlady na Mungi tunazo na hata sababu ya kutokwenda TANGA tushajua! Ila mlienjoy sana! Maskini Lily Flower!!
Nikiwekwa selo my Lily Flower naye ananifata selo..........................
I hope this will not break my goog relation wth my Lily Flower