Wera Weraaaaaa Hatimaye nimetoka Selo hahaaaaaaaaa

huu ni uchokozi taslimu, mi sikumtelekeza my Lily Flower tulikubaliana yeye aende Tanga akamsalimie Babu yetu Dark City, afu mi nibaki na watoto kwakuwa hausigeli wetu alikuwa kwenye kwaya na Mr Rocky

Daaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhhhhhhhh......

Ukiwa wakili halafu ukakutana na kesi kama hii...unacheka kama vile umeguswa kwenye starter......!!

Yaani ulimwacha my wife wako aondoke na wewe ukabaki home na beki tatu??

Hii kesi ni ya kufungulia mwaka....Ngoja lily Flowe na Mr Rocky waje kwanza...

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:

Mkuu kama ni kesi basi my waifu Lily Flower atajibu kwa sabu ndo kaniachia watoto, huku kamruhusu beki tatu wetu sweetlady kwenda kuimba kwaya na Mr Rocky. au hujui sikuizi kuna mfumo jike?
 
Hapa huwezi kutoka kirahisi Mungi,

Wewe ndiye baba mwenye nyumba na lazima uwe responsible kwa kila kitu...

Labda kama nimekuwa outdated!

Sasa Babu na wewe unataka kunigeuka wakati nishawekwa chini na Lily Flower. Kwa hali hii ili niwe responsible inabidi nijiunge na kile chama chetu cha kutetea haki za wababa.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Daaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhhhhhhhh......

Ukiwa wakili halafu ukakutana na kesi kama hii...unacheka kama vile umeguswa kwenye starter......!!

Yaani ulimwacha my wife wako aondoke na wewe ukabaki home na beki tatu??

Hii kesi ni ya kufungulia mwaka....Ngoja lily Flowe na Mr Rocky waje kwanza...

Babu DC!!

Babu Dark City beki tatu wetu alitoroshowa na Mr Rocky ndo maana nikamwacha mai hazibandi wangu na watoto, hakijaharibika kitu Babu worry not.

Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom