Wera Weraaaaaa Hatimaye nimetoka Selo hahaaaaaaaaa

Welcome back Mungi. Itabid uwe Nyapara.

Thanks Mkuu, ni heri upigwe ban lakini ujumbe umefika.
toka ulivonitelekeza Tanga sina hamu na wewe

Hahahaaaaaaaaaaaaa sasa una hamu na nani? afu we kwanini haukuniambia kuwa unaenda? huo ni unyanyasaji wa kijinsia kabisa................. mi ntaandamana ujue

Mh. Mungi sikupi pole kwani ushakuwa sugu! Na ukirudia tena 'watakupeleka' LIFE BAN RESORT, FULLBOARD ACOMMODATION. Hakuna kutoka! (kidding) Karibu jamvini ! Happy New York! Ah sore Happy New Year!
Hakuna kosa ntalifanya nikapigwa life ban.................. wacha kuleta mauoga yako hapa.
DHAMBI KUBWA KULIKO ZOTE NI DHAMBI YA UWOGA.
hata FF alipigwa life BAN, lakini haimaanishi kuwa hayupo humu. wadanganye waoga siyo mimi mkuu.
Ukitaka suluhu mie na wewe twende Tanga.
kwahiyo tukienda Tanga mambo itakuwa poa? nipo tayari my waifu hahahaaaaa
Erickb52 familia ni muhimu sana mkuu we banana na masuala ya familia kaka
Aise unamuona Mungi katuita masharobaro wa Atown aise mi nareport abuse aise
Erickb52 hawezi kupinga............... apinge aone
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…