Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,229
- 13,442
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Welcome back Mungi. Itabid uwe Nyapara.
toka ulivonitelekeza Tanga sina hamu na wewe
Hakuna kosa ntalifanya nikapigwa life ban.................. wacha kuleta mauoga yako hapa.Mh. Mungi sikupi pole kwani ushakuwa sugu! Na ukirudia tena 'watakupeleka' LIFE BAN RESORT, FULLBOARD ACOMMODATION. Hakuna kutoka! (kidding) Karibu jamvini ! Happy New York! Ah sore Happy New Year!
kwahiyo tukienda Tanga mambo itakuwa poa? nipo tayari my waifu hahahaaaaaUkitaka suluhu mie na wewe twende Tanga.
Erickb52 hawezi kupinga............... apinge aone
Madame B ananiaibisha amesahau mchezo wa kujificha (Tapo)Mungi alizaliwa kabla Blaki Womani hajamjua Arushaone!
Back to topic, pole sana Mkuu Mungi, mkeo Lily Flower alikuwa mpweke sana wakati wote wa safari!
eeeeehhhh Mr Rocky sijaelewa hapa umemwita Lily Flower
eeeeehhhh Mr Rocky sijaelewa hapa umemwita Lily Flower
eeeeehhhh Mr Rocky sijaelewa hapa umemwita Lily Flower
Lily Flower atapeleka chakula cha usiku lolBlaki Womani naona nilikosea badala ya Lily Flower nikamuita sweetlady sasa naona sweetlady kawahi kupeleka msosi kabla ya Lily Flower
Mungi alizaliwa kabla Blaki Womani hajamjua Arushaone!
Back to topic, pole sana Mkuu Mungi, mkeo Lily Flower alikuwa mpweke sana wakati wote wa safari!
kwahiyo tukienda Tanga mambo itakuwa poa? nipo tayari my waifu hahahaaaaa
Mungi alizaliwa kabla Blaki Womani hajamjua Arushaone!
Back to topic, pole sana Mkuu Mungi, mkeo Lily Flower alikuwa mpweke sana wakati wote wa safari!