SIMPLE,Mimi niko Dar na nahtaji kwenda huko Tanga,takuwaje?
Tutakutana wapi,na nianzie wapi?
SIMPLE,
Rendezvous, au kwa lugha ingine meeting point, ni Tanga mjini siku ya Ijumaa 28/12/2012..Tokea hapo tutakuwa kitu kimoja, na tutafanya mashambulizi pamoja!
Kimsingi ni kwamba Wa Arusha-Wing wataondoka pamoja kuelekea Tanga, na pia Wana-Branch ya Dar nao(kama kawaida) huwa wanajiorganize na kupanga means ya usafiri, na wanakuja pamoja!...kwahiyo kutegemeana na convinience yako waweza kuchagua whether kuanzia Arusha au Dar.Me nataka mkifika Dar tuondokeni wote na wana Jf wa huko kwenda Tanga.
Me nataka mkifika Dar tuondokeni wote na wana Jf wa huko kwenda Tanga.
Kimsingi ni kwamba Wa Arusha-Wing wataondoka pamoja, na pia Wana-Branch ya Dar nao(kama kawaida) huwa wanajiorganize na kupanga means ya usafiri...kwahiyo kutokana na convinience yako waweza kuchagua whether kuanzia Arusha au Dar kutegemeana na ulipo...
Sijui kama nimekujibu!
jamani jamani....kwa nini tusikutane barabara ya 6....hatutanii ujue....hii ni siriaz.....
Wanaoanzia Arusha-Wing ndio watalipa that much!Nashukuru.
Na mchango natuma wapi?
Au huo mchango nije nao mpaka huko Tanga?
Na nikifika Tanga natoa kiasi hikohiko au hiyo hela ni ya kuanzia Arusha?
Hiyo ratiba mbona cyo,mie kama miss chit chat nov nko ziarani kanda ya ziwa kwa sasa,by the time mnakwenda tanga mie ntakuwa hoi kwa uchovu ,kufanya tour miezi 3 si mchezo,natamani ningeshiriki bt ntakuwa hoi bin taaban!!anywyz kila la kheri kwenu nyote....
Ciello, Ziara yetu iko December 2012, sio Nov!Hiyo ratiba mbona cyo,mie kama miss chit chat nov nko ziarani kanda ya ziwa kwa sasa,by the time mnakwenda tanga mie ntakuwa hoi kwa uchovu ,kufanya tour miezi 3 si mchezo,natamani ningeshiriki bt ntakuwa hoi bin taaban!!anywyz kila la kheri kwenu nyote....
jamani eeh....tuanze kubukiana hapa hapa.....sio tufike kule tuanze kutoleana mimacho kama kenge.....nani atapenda kupumzika na Preta ufukweni......?
Mkuu PakaJimmy itapendeza sana kama tutakutana na mamembers wa kutoka chumvini (dar), lakini tuhakikishe tunaimarisha ulinzi wa kutosha kwa warembo wetu Preta, Blaki Womani, Lily Flower, sweetlady, marejesho na wengine kutoka Arusha, manake bana hawa jamaa wa kule hawaaminiki kabisa, ukizingatia akina Bishanga, Ruttashobolwa, Chilli wakiongozwa na mkaguzi babu Asprin.
Erickb52, Arushaone, Filipo, Mr Rocky na mlokole Mzee wa Rula tuhakikishe tunachafua hali ya hewa kwa warembo akina Madame B, charminglady, FirstLady na wengine bila kuogopa kwenda selo, bali tuhakikishe tumeacha mbegu kwa hawa jamaa...................................... kwa pamoja tunaweza
jamani eeh....tuanze kubukiana hapa hapa.....sio tufike kule tuanze kutoleana mimacho kama kenge.....nani atapenda kupumzika na Preta ufukweni......?