Werawera Arusha-Wing! safari ya kufunga mwaka hii hapa!

Werawera Arusha-Wing! safari ya kufunga mwaka hii hapa!

heheheheheiya! shemeji anamtahiri mwanae kabla ya mwaka mpya! nitaangalia kama kidonda kitakuwa kimekauka, nataka kuja kwa marefu na mapana! lol! babangu PakaJimmy mpo juuu kupita twin towers!
Tunatisha mwanangu!
Tumepanga yamepangika, na haturudi nyuma!
Mwanangu please njoo, naamini hutojuta!
 
hiyo amount ni double au? Nkitaka kuja na wifey ni vipi? afu sio member JF
 
jamani eeh....tuanze kubukiana hapa hapa.....sio tufike kule tuanze kutoleana mimacho kama kenge.....nani atapenda kupumzika na Preta ufukweni......?

umechelewa sana Preta. Mbona mimi nimeshakuwa kukdi na wife kabla ya safari!? Lol..
 
Last edited by a moderator:
Wanaoanzia Arusha-Wing ndio watalipa that much!
Kwa wanaotoka maeneo mengine ni kwamba tutachanga kufuatana na service tunayohitaji at that time...
Kwahiyo we njoo na ATM card tu, hakuna haja ya Mchango!
Right?

Asante nimekuelewa PJ.
Japo kuna vitu vyantatiza.
 
Nakumbuka mwalimu wa shule ya bondeni aliwahi kuwaambia wanafunzi wake kujamiiana ruksa kabisa............. sharti wajamiiane wao kwa wao tu.......................... sasa na wewe Preta unataka kutushawishi tuseme utapunzika ufukweni na mtu wa huku huku sawa?
Mi ntamchagua mbele kwa mbele.......................... Chilli atanisamehe jamani

Haya,
Huyo Chilli katokea wapi tena ubavu wangu?
Mpitieni Moshi.
 
Last edited by a moderator:
Are you sure that she will come back to Arusha?
Count her out, coz Dar guys seems to have taken her forever!
Hujastukia kwanini harudi!

hah hah hah hah! marejesho yupo nyumbani tangu jana!
 
Last edited by a moderator:
Are you sure that she will come back to Arusha?
Count her out, coz Dar guys seems to have taken her forever!
Hujastukia kwanini harudi!

hah hah hah hah! marejesho yupo nyumbani tangu jana!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom