Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usalama wa nani tena?...una mashaka na Polisi Jamii?
Hela anazo?
Mimi niko Dar na nahtaji kwenda huko Tanga,takuwaje?
Tutakutana wapi,na nianzie wapi?
Yupo home anaanda all needfull needs kwaajili ya safari!
tukutane barabara ya 8 karibu na kwa cheupe hahahahahaha
watapeana shift.....mapendo mbele kwanza.....
Umeonaa eeh kwanini hayupo A - Town as we type.
PM ni fasta, haikawizi mambo!...sio kama huku mtu hadi ujieleze kama vile unanunua mitambo ya symbion!
Ha ha haa!
Hapo sasa ni maelewano na serious-buyers!
How abt 3sm!