Werawera Arusha-Wing! safari ya kufunga mwaka hii hapa!

ningefanya hivyo....ila kwa hii trip....nataka mpyaaaa....nimfungue kwenye makaratasi mwenyewe.......PJ naweza nikamrudia baadae.....hanisumbui....

utahangaika sana kupata hiyo labda ya kichina kama yawezekana
 
jamani eeh....tuanze kubukiana hapa hapa.....sio tufike kule tuanze kutoleana mimacho kama kenge.....nani atapenda kupumzika na Preta ufukweni......?
Nabook kwako Preta kwa Madame B BADILI TABIA cacico gfsonwin King'asti lara 1 Kongosho marejesho Lily Flower Kipipi (km akiwepo) Zinduna Erotica afrodenzi FirstLady1 sweetlady Yummy YNNAH snowhite FP Remmy charminglady Elizabeth Dominic Mwa J Dena Amsi Catherine Smile ila Blaki Womani namwachia Mzee wa Rula aliyeshika kijiti baada ya Arushaone kula buti la chogo.
Onyo....
Msiguse watu hawa..
Amyner yeye km kawa kajituliza kwa kasuku wake (mimi)
 
Last edited by a moderator:

angalia vizuri hayo majina! Unachanganya na wake za watu kijana! Yatakupata ya Simbachawene au ya Temeke!?
 
Last edited by a moderator:
Nabook kwako Preta kwa Madame B BADILI TABIA cacico gfsonwin King'asti lara 1 Kongosho marejesho Lily Flower Kipipi (km akiwepo) Zinduna Erotica afrodenzi FirstLady1 sweetlady Yummy YNNAH snowhite FP Remmy charminglady Elizabeth Dominic Mwa J Dena Amsi Catherine Smile ila Blaki Womani namwachia Mzee wa Rula aliyeshika kijiti baada ya Arushaone kula buti la chogo.
Onyo....
Msiguse watu hawa..
Amyner yeye km kawa kajituliza kwa kasuku wake (mimi)

Nachokaje sasa?
Hyo ni thirtySome.
 
We kijana unahatari itabidi uweke na first aid kit pembeni kah!, angalia usije ukajilema bure.

Back
Top Bottom