Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na we ndo unaamka!
Jana ulikuwa Country Coffer nini? Preta yeye kama kawaida alikuwa Arusha-Raha!
Hela atazipata wapi?
BTW serious me nahitaji kwenda.
Na vp mpango wa Kulala,pea pea au singosingo?
Mungi ondoa wasi wasi arusha wing imekamilika kila idara
Akiwepo Erickb52, Arushaone, wewe mwenyewe Mungi, PakaJimmy, Mzee wa Rula nafikiri ukichanganya na warembo wetu Preta, Blaki Womani, Lily Flower, sweetlady na wengineo ni balaaa. Preta naomba booking hapo
hah hah hah hah! Haya bana! Nilikuwa nakuchemsha kidogo shem wangu!
wewe ndio umeanza.....wengine bado hatujawa bukdi......
ningefanya hivyo....ila kwa hii trip....nataka mpyaaaa....nimfungue kwenye makaratasi mwenyewe.......PJ naweza nikamrudia baadae.....hanisumbui....
Huyo Arushaone amekimbia jf tangu asubuhi, labda sms!
Habari yako bana!!!?
ningefanya hivyo....ila kwa hii trip....nataka mpyaaaa....nimfungue kwenye makaratasi mwenyewe.......PJ naweza nikamrudia baadae.....hanisumbui....