Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jiographia ulipata ngapi Madame B, Mulugo at work.
Siyo kwamba naogopa selo, bali niligundua kule selo wanawake ni wachache wakati midume tupo kama 50. Lily Flower nyie ndo mtakuwa mitego yetu kuwanasa warembo wa kutoka dar, hata kama watakuja na wenza wao mnatakiwa mkomae nao by any means sawa?
Umeonaa eeh kwanini hayupo A - Town as we type.
Asante mama,si Mulugo tu,hata Boss mwenyewe kule Oman.
Ila Pitia Nilivyomuuliza paka Jimmy awali.
Nilimuuliza kama mtakodi gari binafsi na kuna uwezekano mkawapitia watu wa Dar mnishtue, ina mana sina akili ya kufahamu kama Toka Arusha mnaachana Segera ili kwenda Tanga?,
Ni uamuzi tu Chalinze to Dar wala si mbali,na akajibu hawatarudi nyuma bali wa Dar tutafute usafiri wetu,ila tukutane Tanga
Sasa wewe unakurupuka tu na kudandia treni kwa Mbele,au umeikutia kati Lily Flower?
Jipange.,
Mmmmh hii inahitaji sredi mpaya.
najua utanilinda! chini yako hakuna mwewe atakayesogelea kifaranga chako! nitajitahidi kuja baba!Tunatisha mwanangu!
Tumepanga yamepangika, na haturudi nyuma!
Mwanangu please njoo, naamini hutojuta!
Nimetupia kitu kule Pm hebu nenda kafungue.