Werawera Arusha-Wing! safari ya kufunga mwaka hii hapa!

Shikamoo ba'mkwe Mungi! Mke wangu mtarajiwa hajambo? Mahari vipi mbona hukujibu unataka ng'ombe wangapi?
 
Last edited by a moderator:
Shikamoo ba'mkwe Mungi! Mke wangu mtarajiwa hajambo? Mahari vipi mbona hukujibu unataka ng'ombe wangapi?

Marhaba Arushaone, hebu nenda home utawakuta washkaji wapo watatu pale nyumbani uwaulize hilo swali watakujibu.
jamaa wenyewe ni hawa hapa:

baada ya hapo unakutana na hii kitu:
 
Attachments

  • 417034_375345042552859_846121992_n.jpg
    11.7 KB · Views: 22
Fuatilia hii lakini utangulie mbele yake itakuelekeza

Dah kama ni hivyo siji kwako aise
Nilitaka nikuletee kreti la ndyofu kwa ajili ya xmass ila umenitisha bora nimpelekee Erickb52
 
Last edited by a moderator:
Dah kama ni hivyo siji kwako aise
Nilitaka nikuletee kreti la ndyofu kwa ajili ya xmass ila umenitisha bora nimpelekee Erickb52

Nooo Noo Mkuu samahani kama ni kwa ajili ya kreti ya ndyofu mfuate huyu kwa nyuma atakufikisha mpaka home kwangu:
 
Nooo Noo Mkuu samahani kama ni kwa ajili ya kreti ya ndyofu mfuate huyu kwa nyuma atakufikisha mpaka home kwangu:

labda awe yule wa India aliyefundishwa ila kama ni wa hapa Tarangire hata kwa dawa simfuati kabisa maana hachelewi kukugeuzia kibao akakufanya asusa mkuu Mungi
 
Last edited by a moderator:
Nooo Noo Mkuu samahani kama ni kwa ajili ya kreti ya ndyofu mfuate huyu kwa nyuma atakufikisha mpaka home kwangu:

Nani ameleta hii kitu ofisini! Unatuondolea apetaiti ya kumalizia kazi ati?
 
Nani ameleta hii kitu ofisini! Unatuondolea apetaiti ya kumalizia kazi ati?
Toa ulevi wako hapa! Nyie ndio mnarudisha nyuma maendeleo ya nchi yetu afu mnamsingizia baba Mwanaasha wa watu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…