Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungi nimesahau njia ya kuja kwako hebu nielekeze unapita chini ya ule mti mkubwa wa mwembe au unauacha unaenda kwenye lile shamba la migomba
Salamu zako nimezipata, nakushukuru kwa kunikumbuka!
Fuatilia hii lakini utangulie mbele yake itakuelekeza
![]()
Nooo Noo Mkuu samahani kama ni kwa ajili ya kreti ya ndyofu mfuate huyu kwa nyuma atakufikisha mpaka home kwangu:
![]()
Nooo Noo Mkuu samahani kama ni kwa ajili ya kreti ya ndyofu mfuate huyu kwa nyuma atakufikisha mpaka home kwangu:
![]()
Toa ulevi wako hapa! Nyie ndio mnarudisha nyuma maendeleo ya nchi yetu afu mnamsingizia baba Mwanaasha wa watu!Nani ameleta hii kitu ofisini! Unatuondolea apetaiti ya kumalizia kazi ati?
Ole wako nikukamate!Ukweli hauwezi kuwa majungu wewee!
Ole wako nikukamate!
Najua pa kukukamatia, nikisema hapa utajifichaUtanikamatia wapi wakati we mwenyewe mwoga kama nini!