Werawera Arusha-Wing! safari ya kufunga mwaka hii hapa!

Werawera Arusha-Wing! safari ya kufunga mwaka hii hapa!

PakaJimmy

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2009
Posts
16,199
Reaction score
8,761
Wadau,

Naamini Wikiendi ilikuwa njema.

Rejeeni thread ya Preta
HII-HAPA.

Kikao kilifanyika Jumamosi Eneo la MERU VIEW, na Hadidu Rejea zifuatazo zilikubaliwa na kupitishwa na wana-Wing.
i. Tutakuwa na Safari ya kufunga mwaka, itakayokuwa baada ya X-Mass, na kabla ya Mwaka mpya!
That is kati yatarehe 26-30/12/2012, japokuwa wadau wote walipropose 28-30/12/2012 kuwa ndiyo muafaka kabisa.

ii.Safari ya mwaka huu itakuwa ni kwenda Mkoa wa Tanga ili kwenda kuona vivutio mbalimbali vya utalii, kuanzia Amboni Caves, Pangani, Hale etc, pamoja na mambo mengine mazuri ya Tanga....
(Tanga-Kunani pale?)

iii. Safari hii ni wazi kwa members wote wa JF... Kwa wale wanaotaka Dar, Moro na mikoa mingineyo tuwasiliane na kupeana confirmation zenu za kushiriki...Hadi sasa hivi JF Arusha -Wing kuna confirmations 15, kwahivo mambo ni kama tayari yashakolea.

iv. Michango tayari imeshaanza kukusanywa...Kwa ufupi ni kwamba members wote tulikaa na kufanya tathmini ya kugharimia safari hiyo, tukahakiki kuwa kila member kutoka Arusha-Wing anatakiwa kuchanga Tshs 100,000/= tu, ikiwa inacover mambo yote ya Usafiri, Menyu na kulala(kama kutakuwepo!!)

iv. Kwa members wa nje ya Arusha-Wing, gharama zote zitategemea unakotokea.

V.Kwa ufupi ni kwamba safari yetu itaanza rasmi siku ya Ijumaa 28/12/12 ambapo tutafika Tanga na kutembelea vivutio vya jirani vya utalii , then Jumamosi tutatembelea maeneo menginekadha ya nje ya mji, na kurudi kulala town ambapo Jumapili alfajiri tutarusi makwetu.

vi Mipango yote ya muhimu inaendelea kushughulikiwa na professionals wa mambo ya safari, ambapo kwa huku A-Town 50% ya members ni wadau wakuu wa sekta ya Usafirishaji.
Nitaendelea kuweka updates zote za muhimu katika thread hii.

Mwenye swali au ushauri karibuni, uwanja uko wazi.

UPDATE 01.
Waliothibitisha kwenda so far:

1.@Filipo na marejesho
2 Mungi na lilyFlower
3.Blaki Womani na Dark City
4.LiverpoolFC na mysoul.
5.madame B na @PakaJimmy,
6.@Kakakiiza na sweetlady,
7 Smile na Arushaone
8 Erickb52 na Kabakabana
9 Preta na Nicas Mtei
[/.SIZE]

10 Mzee wa Rula na Loner.
 
Last edited by a moderator:
Mimi niko Dar na nahtaji kwenda huko Tanga,takuwaje?
Tutakutana wapi,na nianzie wapi?
SIMPLE,
Rendezvous, au kwa lugha ingine meeting point, ni Tanga mjini siku ya Ijumaa 28/12/2012..Tokea hapo tutakuwa kitu kimoja, na tutafanya mashambulizi pamoja! Tutapanga tuanzie pande gani, kama Makorora au Majani-Mapana, au Amboni, pouwa!
 
Me nataka mkifika Dar tuondokeni wote na wana Jf wa huko kwenda Tanga.
Kimsingi ni kwamba Wa Arusha-Wing wataondoka pamoja kuelekea Tanga, na pia Wana-Branch ya Dar nao(kama kawaida) huwa wanajiorganize na kupanga means ya usafiri, na wanakuja pamoja!...kwahiyo kutegemeana na convinience yako waweza kuchagua whether kuanzia Arusha au Dar.
Sijui kama nimekujibu!
 
Kimsingi ni kwamba Wa Arusha-Wing wataondoka pamoja, na pia Wana-Branch ya Dar nao(kama kawaida) huwa wanajiorganize na kupanga means ya usafiri...kwahiyo kutokana na convinience yako waweza kuchagua whether kuanzia Arusha au Dar kutegemeana na ulipo...
Sijui kama nimekujibu!

Nashukuru.
Na mchango natuma wapi?
Au huo mchango nije nao mpaka huko Tanga?
Na nikifika Tanga natoa kiasi hikohiko au hiyo hela ni ya kuanzia Arusha?
 
Hiyo ratiba mbona cyo,mie kama miss chit chat nov nko ziarani kanda ya ziwa kwa sasa,by the time mnakwenda tanga mie ntakuwa hoi kwa uchovu ,kufanya tour miezi 3 si mchezo,natamani ningeshiriki bt ntakuwa hoi bin taaban!!anywyz kila la kheri kwenu nyote....
jamani jamani....kwa nini tusikutane barabara ya 6....hatutanii ujue....hii ni siriaz.....
 
Nashukuru.
Na mchango natuma wapi?
Au huo mchango nije nao mpaka huko Tanga?
Na nikifika Tanga natoa kiasi hikohiko au hiyo hela ni ya kuanzia Arusha?
Wanaoanzia Arusha-Wing ndio watalipa that much!
Kwa wanaotoka maeneo mengine ni kwamba tutachanga kufuatana na service tunayohitaji at that time...
Kwahiyo we njoo na ATM card tu, hakuna haja ya Mchango!
Right?
 
Hiyo ratiba mbona cyo,mie kama miss chit chat nov nko ziarani kanda ya ziwa kwa sasa,by the time mnakwenda tanga mie ntakuwa hoi kwa uchovu ,kufanya tour miezi 3 si mchezo,natamani ningeshiriki bt ntakuwa hoi bin taaban!!anywyz kila la kheri kwenu nyote....

Shalo Shalo.....sio vizuri ujue......
 
Hiyo ratiba mbona cyo,mie kama miss chit chat nov nko ziarani kanda ya ziwa kwa sasa,by the time mnakwenda tanga mie ntakuwa hoi kwa uchovu ,kufanya tour miezi 3 si mchezo,natamani ningeshiriki bt ntakuwa hoi bin taaban!!anywyz kila la kheri kwenu nyote....
Ciello, Ziara yetu iko December 2012, sio Nov!
Karibu sana.
 
Last edited by a moderator:
heheheheheiya! shemeji anamtahiri mwanae kabla ya mwaka mpya! nitaangalia kama kidonda kitakuwa kimekauka, nataka kuja kwa marefu na mapana! lol! babangu PakaJimmy mpo juuu kupita twin towers!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu PakaJimmy itapendeza sana kama tutakutana na mamembers wa kutoka chumvini (dar), lakini tuhakikishe tunaimarisha ulinzi wa kutosha kwa warembo wetu Preta, Blaki Womani, Lily Flower, sweetlady, marejesho na wengine kutoka Arusha, manake bana hawa jamaa wa kule hawaaminiki kabisa, ukizingatia akina Bishanga, Ruttashobolwa, Chilli wakiongozwa na mkaguzi babu Asprin.

Erickb52, Arushaone, Filipo, Mr Rocky na mlokole Mzee wa Rula tuhakikishe tunachafua hali ya hewa kwa warembo akina Madame B, charminglady, FirstLady na wengine bila kuogopa kwenda selo, bali tuhakikishe tumeacha mbegu kwa hawa jamaa...................................... kwa pamoja tunaweza
 
Point taken! Afterall my wife marejesho will by my side all thru'.
 
Last edited by a moderator:
jamani eeh....tuanze kubukiana hapa hapa.....sio tufike kule tuanze kutoleana mimacho kama kenge.....nani atapenda kupumzika na Preta ufukweni......?

Nakumbuka mwalimu wa shule ya bondeni aliwahi kuwaambia wanafunzi wake kujamiiana ruksa kabisa............. sharti wajamiiane wao kwa wao tu.......................... sasa na wewe Preta unataka kutushawishi tuseme utapunzika ufukweni na mtu wa huku huku sawa?
Mi ntamchagua mbele kwa mbele.......................... Chilli atanisamehe jamani
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom