Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,320
- 18,852
Pea haimati hapa hivi hujui nina mpango wa kuwa singo forever
Anyway nilikuwa namaanisha nani wa kuwasiliana nae maana hata tarehe zenyewe hazieleweki mara 26 mara 28
tarehe ni 28.....unaweza kuwasiliana na mimi kama uko interested......au na PakaJimmy.......karibu sana......
Last edited by a moderator: