Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,229
- 13,442
unanitisha? Ngoja nimwite my sweetheart marejesho aje akunyooshe
hahahahahaha mie ninaloya umekwisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unanitisha? Ngoja nimwite my sweetheart marejesho aje akunyooshe
hahahahahaha mie ninaloya umekwisha
Ruttashobolwa anafanya nini huku? selo inamhusu huyo bushiloya. Arushaone popote ulipo mkuu tokelezea bana
Arushaone yupo kwenye kikao cha dharura, Ruttashobolwa atakachofanyiwa ataipenda arachuga hahahaaaa
Ewaaa, tatizo mbona hukuja tena kwenye ukaguzi wa mwisho binti marejesho?Nicas Mtei acha uongo bana!!!Nilikaguliwa na babu Asprin !!
Mmmmmmhhh! Hii sasa ni kesi taslimu..................... lakini nahisi kama Filipo amenywea kiaina!!!!???? haiwezekani kwa kamanda kutoka Kiding'a awe mdogo kama piriton kiasi hicho!
nicas huogopi Tego?
Kijana taratibu na wake za watu!
Hakuna utaratibu hapa.