Werawera Arusha-Wing! safari ya kufunga mwaka hii hapa!

unanitisha? Ngoja nimwite my sweetheart marejesho aje akunyooshe

Mmmmmmhhh! Hii sasa ni kesi taslimu..................... lakini nahisi kama Filipo amenywea kiaina!!!!???? haiwezekani kwa kamanda kutoka Kiding'a awe mdogo kama piriton kiasi hicho!
 
Last edited by a moderator:

Sasa shem Mungi , penye moto unazidi kumiminia petroli?
 
Last edited by a moderator:
Mmmmmmhhh! Hii sasa ni kesi taslimu..................... lakini nahisi kama Filipo amenywea kiaina!!!!???? haiwezekani kwa kamanda kutoka Kiding'a awe mdogo kama piriton kiasi hicho!

Kwani kuna nini hapa! Huyu dogo naona hataki kuhesabiwa mwaka huu!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom