Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona kama wengine mnatutenga au ndio hatutakiwi kwenda huko Tanga?....sioni jina langu kwa hiyo list niambieni mapemaaaa nisije unguza negativu za kapoz heheheh
cc: Preta
Namuona Smile, KakaKiiza, Madame B, Nicas Mtei....lakini wapi watu8???? wapi watu8????
Confirm kwa kulipa nauli. Longolongo hazisaidii!
Dady si umwambie tunaenda na usafiri binafsi? Nani anataka kubanwa?How can I do that na namna ya malipo hajibainishwa....BTW hayo majina juu hapo ni kwa walioconfirm kwa ninavyofahamu, waliolipa si wana thread yao ile nyingine...
mwanaume mhuni sana huyu anatongozwa alafu ananyamaza kimya wewe KakaKiiza NAONGEA NA WEWE NAONA UMEKUWA EASY GOING NOWDAYS AISEE. Baba V VUNJA HII KAPLE NSHACHOKA MIE NA MWANAUME KIRUKA NJIA KILA NIPITAPO NAKUTANA NA MTONGOZO WAKE ALAHHahahahaha! Ngoja nimwulize PakaJimmy kulikoni kunipanga na mme wa mtu!
Dady si umwambie tunaenda na usafiri binafsi? Nani anataka kubanwa?
Good evening lovely dady!
Am good enough mwaya! Afadhali kama mmeyamalza.mmh usijali tumeshaongea PM dear yameishia huko huko....
evening...habari wa wewe sweetheart...tell daddy bout afya yako!!
Am good enough mwaya! Afadhali kama mmeyamalza.
Tuombeane uzima dady, natamani mambo yaende kama nilivyopanga ili nitie timu!daughter nawe si utaenda "Waja leo waondoka leo" eenh
Tuombeane uzima dady, natamani mambo yaende kama nilivyopanga ili nitie timu!
Amen dearest!naam ni kwa neema na uweza wa Mungu...
usijali daughter naamini everything will work out just fine!!!