Werawera Arusha-Wing! safari ya kufunga mwaka hii hapa!

Mbona kama wengine mnatutenga au ndio hatutakiwi kwenda huko Tanga?....sioni jina langu kwa hiyo list niambieni mapemaaaa nisije unguza negativu za kapoz heheheh

cc: Preta
Namuona Smile, KakaKiiza, Madame B, Nicas Mtei....lakini wapi watu8???? wapi watu8????
 
Last edited by a moderator:

Confirm kwa kulipa nauli. Longolongo hazisaidii!
 
How can I do that na namna ya malipo hajibainishwa....BTW hayo majina juu hapo ni kwa walioconfirm kwa ninavyofahamu, waliolipa si wana thread yao ile nyingine...
 
Dady si umwambie tunaenda na usafiri binafsi? Nani anataka kubanwa?

Good evening lovely dady!
 
Hahahahaha! Ngoja nimwulize PakaJimmy kulikoni kunipanga na mme wa mtu!
mwanaume mhuni sana huyu anatongozwa alafu ananyamaza kimya wewe KakaKiiza NAONGEA NA WEWE NAONA UMEKUWA EASY GOING NOWDAYS AISEE. Baba V VUNJA HII KAPLE NSHACHOKA MIE NA MWANAUME KIRUKA NJIA KILA NIPITAPO NAKUTANA NA MTONGOZO WAKE ALAH
 
Last edited by a moderator:
Dady si umwambie tunaenda na usafiri binafsi? Nani anataka kubanwa?

Good evening lovely dady!

mmh usijali tumeshaongea PM dear yameishia huko huko....
evening...habari wa wewe sweetheart...tell daddy bout afya yako!!
 
Am good enough mwaya! Afadhali kama mmeyamalza.
 
mwanaume mhuni sana huyu anatongozwa alafu ananyamaza kimya wewe KakaKiiza NAONGEA NA WEWE NAONA UMEKUWA EASY GOING NOWDAYS AISEE. Baba V VUNJA HII KAPLE NSHACHOKA MIE NA MWANAUME KIRUKA NJIA KILA NIPITAPO NAKUTANA NA MTONGOZO WAKE ALAH
Khaaa! Taratibu nivea, mwanaume huwa hafokewi mpenzi.
 
Last edited by a moderator:
Tuombeane uzima dady, natamani mambo yaende kama nilivyopanga ili nitie timu!

naam ni kwa neema na uweza wa Mungu...
usijali daughter naamini everything will work out just fine!!!
 
Back
Top Bottom