Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Ndugu mbumbumbu Yanga Leo atashinda na ita fuzu kwa hatua ya robo fainali.
Mki pambana nanyi mki fuzu tu, tutafanya Kila mpango tukutane nanyi robo tuwape kipigo Cha paka mwizi.
NakaziaOgopa sana mjinga akijiona sio mjinga
Kakimbia Uzi Wake MwenyeweMdau uliandika hii post, tupe mrejesho.baada ya mechi, Ni Nani kafuzu hatua ya robo fainali.?
Kinyago Alichokichonga KimemtishaUhali gani i sasa ?
Ujuaji mwingi kichwani hakuna kitu, shingo yako inaumia kubeba hilo fuvu
Amejificha Kwenye Id ZingineGENTAMYCINE Njoo uombe msamaha huku ulitukana sana hatimaye umeingia mitini
Sema wewe jamaa kweli POPOMA.
Mmeliona kubwa la mapopoma??
Ukiuchukia huu uzi hauna akili, Ok?
[emoji1787][emoji1787]
🤣🤣🤣🤣 eti ok? Hapo anajiona bonge la geniusUkiuchukia huu uzi hauna akili, Ok?
🤣🤣
Yaliyotokea kauchukia mwenyewe uzi wake.............weee popoma GENTAMYCINE rudi kwenye uzi wako au ndo umeshauchukia, uzuri ulishatoa hitimisho ukiuchukia hauna akili sasa hapa equation sijui inakaajeUkiuchukia huu uzi hauna akili, Ok?
🤣🤣
Nani hana akiliUkiuchukia huu Uzi jua huna Akili Ok?