Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Wameanza Kutupigia Ramli Tupoteze Mechi Ya Cairo Ili Tusiongoze Kundi Wanatukimbia.
Na Sisi Tunapambana Kuongoza Kundi Tuwapate Hawa Watu
Na Sisi Tunapambana Kuongoza Kundi Tuwapate Hawa Watu
Ndugu mbumbumbu Yanga Leo atashinda na ita fuzu kwa hatua ya robo fainali.
Mki pambana nanyi mki fuzu tu, tutafanya Kila mpango tukutane nanyi robo tuwape kipigo Cha paka mwizi.