GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mnaacha kutulia Kuandaa Litimu lenu la Tigo Pesa Muamala FC ijiandae Kimkakati ili ishinde Mechi ngumu na muhimu nyie Kutwa tu mpo katika Maredio mnatamba, mnajisifu, mnawazogoa ambao wamewazidi Mafanikio katika CAFCL mkidhani kuwa mnayepambana nae baadae Mbagala ni kama Silipo Tanzania FC mliowaokota hivi majuzi.
Wenzenu wenye Akili, waliowazidi Mafanikio katika CAFCL na Waliofanikiwa Kimahesabu jana kwa akina Didier Droga walikuwa Kimya huku Wakijipanga Kimkakati na hatimaye Wameokota Alama Moja muhimu kama Lengo Kuu lilivyokuwa la kutaka Kushinda ili kupata Alama 3 au kutoka Sare / Suluhu ili kupata Alama 1 na siyo Kufungwa.
Jidanganyeni tu kuwa Uchawi wa Kufuru mlioufanya tokea Jumatano hadi Alfajiri hii pale Lupaso Stadium Temeke na Kumalizana kimya kimya na Pilato wa Mtanange wa Leo kupitia Mwandamizi Mmoja wa Shirikisho mwenye DNA ya Kuwashabikia ndiyo kutawasaidia na Mtashinda.
Na GENTAMYCINE najua leo ndiyo mtaenda Kuvurugana, Kugombana, kutafutana Uchawi, Kulaumiana na kumkataa kabisa Muajentina anayesafiria Nyota ya Mtunisia aliyeko Kazini sasa huko nchini Morocco kwani kwa 50% mtafungwa au kwa 50% mtabahatisha tu Sare / Suluhu ila hamtoshinda japo kutokana na Ujuha wenu na Viongozi wenu Kuwadanganya kwa kuwajua kuwa ni Mazuzu ( Majuha ) Kiasili wameshawaaminisha kuwa leo iwe isiwe mtashinda tu wakati wenye Kuujua Mpira, Mbinu zake na Mikakati yake akina GENTAMYCINE tunajua kuwa leo ndiyo mwisho wa Safari yenu CAFCL kabla hamjaenda Kufia mazima kwa Mwarabu Farao ambaye Kwao / Kwake huwa hamuachi Mtu hata kama anaona ameshafuzu Kimalengo kwa hatua nyingine.
Ukiuchukia huu Uzi jua huna Akili Ok?