Werrason kiboko ya sebene

Werrason kiboko ya sebene

Sodium 23

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2013
Posts
483
Reaction score
491
Habari ya muda huu wana jukwaa. Nimejaribu kulinganisha sebene za wasanii mbalimbali hasa kutoka DRC nikaona werrason sebene zake zinakimbiza ile mbaya, mfano Kata fumbwa, mipende na mzigo unaosumbua hivi sasa block cadena.

sebene zake zina mvuto flani amazing halafu kwenye block cadena ametokelezea traditionally na kufanya muziki wake uwe wa kiafrika zaidi.

Vile vile kuna wakali wengine ambao wanasumbua kwa sebene mfano Koffi Olomide na Bebi Phillip wa Cote d'ivoire.
 
em weka hio block cadena????
niifananishe na Lavie est belle ya Fally Ipupa[emoji6]
Werrason ni mwisho.

Ukimsikiz kuanzia ngoma zake za long , tindika loketo, hadi juzi tekno malewa[emoji39] . Ingawa Fally sio wa kumchukulia poa hata kidogo....


Thumb UP kwa MOPAO
 
Jamaa anaalikwaga kwenye birthday za Mugabe kutumbuiza..........................yuko kanunu............
 
Werrason ni mwisho.

Ukimsikiz kuanzia ngoma zake za long , tindika loketo, hadi juzi tekno malewa[emoji39] . Ingawa Fally sio wa kumchukulia poa hata kidogo....


Thumb UP kwa MOPAO
wekeni basi wimbo wake tudownload... sio videos
 
Kwa sebene za werrason nakubali ni kiboko yuko mbele saana
 
Kwa sebene hakuna anayemuweza Werra hiyo nilikuwa sijaiona tupia ingine halafu nitag mkuu
 
Sweet life, sweet dream, sweet girls.. now am living never stop hustling...V.I.P for life....dah huyu jamaa sijui aliwaza nini kutoa hii rhumba amazing..
Yaan hapa ndio huwa pananifanya nijihis niko dunia ingine safi saaaaaaaana
 
Back
Top Bottom