Werrason ni mwisho.em weka hio block cadena????
niifananishe na Lavie est belle ya Fally Ipupa[emoji6]
Hii jina lingine ndio sweet life ama ni ipi hiiem weka hio block cadena????
niifananishe na Lavie est belle ya Fally Ipupa[emoji6]
em weka hio block cadena????
niifananishe na Lavie est belle ya Fally Ipupa[emoji6]
Yes sweet lifeHii jina lingine ndio sweet life ama ni ipi hii
wekeni basi wimbo wake tudownload... sio videosWerrason ni mwisho.
Ukimsikiz kuanzia ngoma zake za long , tindika loketo, hadi juzi tekno malewa[emoji39] . Ingawa Fally sio wa kumchukulia poa hata kidogo....
Thumb UP kwa MOPAO
Yes sweet life
yaani halafu ngoma imetulia mnoSweet life, sweet dream, sweet girls.. now am living never stop hustling...V.I.P for life....dah huyu jamaa sijui aliwaza nini kutoa hii rhumba amazing..
Oh huwa naipenda sana hii nyimbo yaan nikiwachek wale wadada wanavyocheza aiseee kwel wanamaanishaYes sweet life
Yaan hapa ndio huwa pananifanya nijihis niko dunia ingine safi saaaaaaaanaSweet life, sweet dream, sweet girls.. now am living never stop hustling...V.I.P for life....dah huyu jamaa sijui aliwaza nini kutoa hii rhumba amazing..
Sebene liko poa sema video haijapangiliwa vizurikula vyombo hapo
Kuna kijana mmoja hivi alikuwa anapromotiwa na werrason sana anaitwa shikito hivi yuko wapi kwa anayefahamKwa sebene za werrason nakubali ni kiboko yuko mbele saana