Werrason kiboko ya sebene

Kaka unamjua jamaa anaitwaga fally lpupa Nsimba
 
Haha nilikua nasubiri comment yako tu mkuu katika hili.
 
nailelewa sana ile dansi pale wote wanaimuitikia atalaku ' ooooh yesue'!!
Halaf naona watu hata hawampi credit zake,,,mimi kwangu fally ni mkali wa sebene dunia nzima kwa ngoma hzi,,,libre parcous, bicarbonate, hustler is back, original etc
 

Sara Soloo.....
 
Shikito ni wa ferre gola na sio werason,...labda kama wapo wawili. BTW na mimi nataka kujua yupo wap
Nimeambiwa kuwa kaanzisha bendi yake
Inawezekana alikuwa wa ferre maana nakumbuka aliwekewa beat la 100 kilos akaingizia maneno yake aiseee kijana alifanya kwel
 
Ni kosa kumfananisha Fally na wakongwe kama Werrason na Koffi. Fally Vs Ferre hapo sawa. Thereafter Fally sahv amekuwa modal mziki si kwa saaaaana, anauza sura na kiuno chake anapotea taratiibu kwe mziki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…