West Ham club ndogo ina uwanja mkali kuliko wa Tanzania

West Ham club ndogo ina uwanja mkali kuliko wa Tanzania

Tomaa Mireni

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2015
Posts
2,395
Reaction score
2,391
Sisi tunakwama wap kwenye miundombinu katika soka,yan hata championship pale England wana viwanja vizuri sana
 
Uwanja wa west ham unaitwa Upton park, huo anatumia ni uwanja wa jiji LA London tu, the hammers sio timu ndogo ni timu ya daraja LA kati kwa wakati anagombea nafasi ya kuutumia uwanja huo akishindana na timu kama spurs
 
Mkuu ..kweli not swali la kujiulizaa hkoo..kwambaaa hujui kwambaa.nchi yetu ni maskini..?hujui bado asilimia kubwaa ya vijiji vyetu.hata hudumas ya maji bdo ni changamoto..anyway..ukifanya utafiti kidogo utagunduaa kwambaa miaka ya 1960s wakat sisi tunapata uhuru kunaa club nying ulayaa zilikuas tayari na viwanja vizuri..point is sisi bado ni nchi maskin..
 
Sisi tunakwama wap kwenye miundombinu katika soka,yan hata championship pale England wana viwanja vizuri sana
Westham zamani walikuwa wanatumia uwanja wao wa Nyumbani ulikuwa ukiitwa Upton Park ulikua wakawaida,huu wa Sasa wamepewa na FA kwani huu uwanja ulijengwa kwa ajili ya mashindano ya Olympic yaliyofanyika uingereza miaka michache iliyopita, baada ya mashindano kuisha Westham wakapewa huu uwanja..kwaio hawajajenga kwa pesa zao na kulikua na malalamiko toka kwa Fulham nao kuomba wapewe ila Westham wakabahatika
 
Hatujawahi kuwa serious haswa katika michezo,

Na siku tukiwa serious hata mwezi tu katika michezo,

Nakuapia tuna beba vikombe vyote vya kidunia,

Na wachezaji wetu watano watakuwa LIGI KUBWA,

Wakati huo huo wakiwa wateule katika tuzo za fifa ballon d or,pamoja na fifa the best awards
 
Fanya utafiti wa unachoongea West Ham wameanza kucheza mpira kabla ya Tanzania na wanazidi kila kitu TFF namaanisha kila kitu
 
Mkuu hukutafakari sana kabla ya hii post,maana unafananisha mbingu na ardhi
 
Mkuu West Ham kwa Bongo West Ham inazidiwa na Simba tu....


Alisikika Manara akizihadaa Mbumbumbu.
 
Hebu zilete bajezi zote mbili uone
Haya vp wizara yetu.
Screenshot_20191023-144819.jpeg
 
Kwahiyo udogo wa Westharm unaousema wewe ni nini,pesa au points kwenye EPL...?
 
Kwahiyo udogo wa Westharm unaousema wewe ni nini,pesa au points kwenye EPL...?
Ukilinganisha na Liverpool Man u Newcastle Chelsea Man city Ttonam katika Epl west ham ni timu ndogo......Tz ni nchi kubwa sana lakini haina maendeleo hatuna viongozi wenye vision wote wamekalia siasa taka
 
Back
Top Bottom