Tomaa Mireni
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 2,395
- 2,391
Sisi tunakwama wap kwenye miundombinu katika soka,yan hata championship pale England wana viwanja vizuri sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa vigezo gani timu ya Ligi kuu ya Uingereza tena ambayo haijawahi shuka daraja kwa misimu misimu mingi unaiita timu ndogo?Sisi tunakwama wap kwenye miundombinu katika soka,yan hata championship pale England wana viwanja vizuri sana
Sisi tunakwama wap kwenye miundombinu katika soka,yan hata championship pale England wana viwanja vizuri sana
Atakua anaifananisha na Mbeya City labdaKwa vigezo gani timu ya Ligi kuu ya Uingereza tena ambayo haijawahi shuka daraja kwa misimu misimu mingi unaiita timu ndogo?
Kwa vigezo gani timu ya Ligi kuu ya Uingereza tena ambayo haijawahi shuka daraja kwa misimu misimu mingi unaiita timu ndogo?
Westham zamani walikuwa wanatumia uwanja wao wa Nyumbani ulikuwa ukiitwa Upton Park ulikua wakawaida,huu wa Sasa wamepewa na FA kwani huu uwanja ulijengwa kwa ajili ya mashindano ya Olympic yaliyofanyika uingereza miaka michache iliyopita, baada ya mashindano kuisha Westham wakapewa huu uwanja..kwaio hawajajenga kwa pesa zao na kulikua na malalamiko toka kwa Fulham nao kuomba wapewe ila Westham wakabahatikaSisi tunakwama wap kwenye miundombinu katika soka,yan hata championship pale England wana viwanja vizuri sana
Hebu zilete bajezi zote mbili uoneWest Ham ina bajeti kubwa kuliko ya kwetu kwenye wizara ya michezo?
Haya vp wizara yetu.Hebu zilete bajezi zote mbili uone
Ukilinganisha na Liverpool Man u Newcastle Chelsea Man city Ttonam katika Epl west ham ni timu ndogo......Tz ni nchi kubwa sana lakini haina maendeleo hatuna viongozi wenye vision wote wamekalia siasa takaKwahiyo udogo wa Westharm unaousema wewe ni nini,pesa au points kwenye EPL...?