Westlands vs Posta

Westlands vs Posta

Tunawapa ukweli wenu msitishike na toys ,mnashangaa,vioo vya magorofa, wakati wa KE , wengi wanaishi kny mabati,
Hebu tupe ukweli wenu kwa kuweka slum zenu 92% hapo Dar.
 
Hii infrastructure ipo westland? Huko kwenye horizon kuna bahari , Au mmechimba bonge la dam usiku 🤣🤣🤣🤣
Physics muhimu mkuu kuna kitu inaitwa distortion in photography caused by distance.
 
Halafu, mabati yamejaa kibera , hivyo vioo ni vya wapi hapo? Au ndio nyumba alizowajengea prof. Mama Tibaijuka?
Wewe angalia hiyo nyumba kwa makini. Nimekuambia ni Kibera sasa usha anza kubisha kama mama aliye na mimba.
 
1540289523933.png

1540289586117.png

1540289607288.png

1540289647707.png

1540289675156.png
 
Unaachaje golden jubilee tower, Rita, uhuru height,kempiski,PPF tower,mafuta house nk
Rita tower is one ugly ass building. I remember on SSC we followed up when it was being built, even die-hard Tanzanian cheerleaders agreed it was ugly. A thread was even opened about its ugliness. Same with Mafuta house (How can such a tall building have ugly ass external staircase like that?) Golden Jubilee tower is just ordinary. PPF is not bad but nowhere close to memorable.
 
Physics muhimu mkuu kuna kitu inaitwa distortion in photography caused by distance.

🤣🤣🤣 my Friend , Kama hiyo Ndio physics ya Kenya ianvyokuambia kweli Upo juu, hilo eneo 100% halipo kenya Achilia mbali Vegetation na landscape ya aina hiyo . Hata photograph interpretation yako pia ipo shake .

Hiyo ni ABC Westland in Europe. Sasa naamini hamjui hata maeneo yenu. Duh, 🤣🤣🤣🤣.
 
Wanachapia ! Hahaha😂😂😂
 
Back
Top Bottom