mwaswast
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 12,780
- 6,480
CHAPA *2 HIYO YENU.Tumeshafika 1600MW wewe unahabar za kale sana...nikumbushe nyie mmeshafika 15,000MW ???Au bado mko matopeni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CHAPA *2 HIYO YENU.Tumeshafika 1600MW wewe unahabar za kale sana...nikumbushe nyie mmeshafika 15,000MW ???Au bado mko matopeni
16,000 Solar Panels at ABC Westlands hata Dar Mzima haina such infrastructure
View attachment 908054
Hebu tupe ukweli wenu kwa kuweka slum zenu 92% hapo Dar.Tunawapa ukweli wenu msitishike na toys ,mnashangaa,vioo vya magorofa, wakati wa KE , wengi wanaishi kny mabati,
Halafu, mabati yamejaa kibera , hivyo vioo ni vya wapi hapo? Au ndio nyumba alizowajengea prof. Mama Tibaijuka?Umeitisha restaurant nimekupa, sasa umehamisha goli?
Physics muhimu mkuu kuna kitu inaitwa distortion in photography caused by distance.Hii infrastructure ipo westland? Huko kwenye horizon kuna bahari , Au mmechimba bonge la dam usiku 🤣🤣🤣🤣
Ukweli wa viblog vya uchochoroni , anatafuta hela ya kula, hana data kamili anajisemea tu, ukweli upo , Habitat wako watu makini.Hebu tupe ukweli wenu kwa kuweka slum zenu 92% hapo Dar.
Wewe angalia hiyo nyumba kwa makini. Nimekuambia ni Kibera sasa usha anza kubisha kama mama aliye na mimba.Halafu, mabati yamejaa kibera , hivyo vioo ni vya wapi hapo? Au ndio nyumba alizowajengea prof. Mama Tibaijuka?
WestlandsUkweli wa viblog vya uchochoroni , anatafuta hela ya kula, hana data kamili anajisemea tu, ukweli upo , Habitat wako watu makini.
Rita tower is one ugly ass building. I remember on SSC we followed up when it was being built, even die-hard Tanzanian cheerleaders agreed it was ugly. A thread was even opened about its ugliness. Same with Mafuta house (How can such a tall building have ugly ass external staircase like that?) Golden Jubilee tower is just ordinary. PPF is not bad but nowhere close to memorable.Unaachaje golden jubilee tower, Rita, uhuru height,kempiski,PPF tower,mafuta house nk
Westy iko cheap sana lol
Physics muhimu mkuu kuna kitu inaitwa distortion in photography caused by distance.
Wanachapia ! Hahaha😂😂😂🤣🤣🤣 my Friend , Kama hiyo Ndio physics ya Kenya ianvyokuambia kweli Upo juu, hilo eneo 100% halipo kenya Achilia mbali Vegetation na landscape ya aina hiyo . Hata photograph interpretation yako pia ipo shake .
Hiyo ni ABC Westland in Europe. Sasa naamini hamjui hata maeneo yenu. Duh, 🤣🤣🤣🤣.
For sure , TZ ni kaka yao mkubwaWakenya mnapenda sana ligi na kaka yenu mkubwa Tz.
Of course, the three towers.View attachment 908143
Hahaha utatamani sana dar