Tunashughulika na KIBERA ONE.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunashughulika na KIBERA ONE.
Ila usikoseshwe usingizi na Kibera Dar ikiwa.Tunashughulika na KIBERA ONE.
Andika ueleweke , Dar ikiwa ndionini? Usingizi mmekosa nyie wanakibera,.Ila usikoseshwe usingizi na Kibera Dar ikiwa.
Dr ikiwa 92% slumAndika ueleweke , Dar ikiwa ndionini? Usingizi mmekosa nyie wanakibera,.
Huyo mama wenu alishindwa kufanya hivyo hapa?Hizo ghorofa , habitat iliwasaidia , prof mama Tibaijuka kutoka Tanzania , alifanya kazi kwelikweli , kuhakikisha angalau , one of the largest SLUM , in the word , panabadilika kidogo
KIBERA ONE , inajulikana dunia nzima , hiyo picha yako ya zamani saaana , halafu ni kawaida ,Huyo mama wenu alishindwa kufanya hivyo hapa?View attachment 907948
Hio sio matusi? Unaogopa matusi na wewe ndio wa kwanza kulianzisha dude.Acha uhayawani
Source of information please ,Dr ikiwa 92% slum
Slum tours in Dar es Salaam Tanzania
Dude halianzishwi ,linaamshwaHio sio matusi? Unaogopa matusi na wewe ndio wa kwanza kulianzisha dude.
Nimekupa link ukafikiri ni zawadi ya kutizama tu? wacha uvivu wa kitanzagizaSource of information please ,
Nowonder mtaishi kwa slum milele (Tuko vizuri) [emoji108][emoji108][emoji108][emoji108][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851]Wewe ndio mjinga kibera one wewe , jiji duni Afrika liko wapi.? TANZANIA hata kumi bora za uduni Afrika hatupo , tupo vizuri sisi .
Asante nimeiona,Nimekupa link ukafikiri ni zawadi ya kutizama tu? wacha uvivu wa kitanzagiza
Vipicha vya historia hivo , toeni picha halisiNowonder mtaishi kwa slum milele (Tuko vizuri) [emoji108][emoji108][emoji108][emoji108][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851]View attachment 907972View attachment 907974View attachment 907975View attachment 907976View attachment 907977
Hahaha , halafu eti mko vizuri , du , hatudanganyiki!Asante nimeiona,
![]()
Kibera stands out as one of the friendliest slums in the whole world that attracts a lot of slum tours in Nairobi, from across the globe.
Unazeeka vibaya,westy ni mtaa tu wala sijui kwann mnahangaika sana na Ji -Papa Posta hamtaliwezaHakuna jengo kama UAP Dar, wacha uongo. Majengo ya kwenu mengi sio modern na mafupi fupi. Acha kukosea UAP heshima. Westlands pekee ina majengo modern kuliko Dar yote.
Do you know something.... about 92% of Dar is slumVipicha vya historia hivo , toeni picha halisi
Ukihesabu haraha hv zinafika 100Kwani kwao kuna glass buildings ngapi?
Wacha kuongea tu.....ongea facts. Westy buildings zake ni modern. Posta only TPA, PSPF and MNF are modern.Unazeeka vibaya,westy ni mtaa tu wala sijui kwann mnahangaika sana na Ji -Papa Posta hamtaliweza
Ongea lugha inayoeleweka.Ukihesabu haraha hv zinafika 100