Westlands vs Posta

Westlands vs Posta

Hizo ghorofa , habitat iliwasaidia , prof mama Tibaijuka kutoka Tanzania , alifanya kazi kwelikweli , kuhakikisha angalau , one of the largest SLUM , in the word , panabadilika kidogo
Huyo mama wenu alishindwa kufanya hivyo hapa?
tapatalk_1539505863838.jpeg
 
Wewe ndio mjinga kibera one wewe , jiji duni Afrika liko wapi.? TANZANIA hata kumi bora za uduni Afrika hatupo , tupo vizuri sisi .
Nowonder mtaishi kwa slum milele (Tuko vizuri) [emoji108][emoji108][emoji108][emoji108][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851]
tapatalk_1539573889705.jpeg
tapatalk_1539573911395.jpeg
tapatalk_1539505912901.jpeg
tapatalk_1539505987860.jpeg
tapatalk_1539509897691.jpeg
 
Nimekupa link ukafikiri ni zawadi ya kutizama tu? wacha uvivu wa kitanzagiza
Asante nimeiona,
slum-tours-in-nairobi.jpg

Kibera stands out as one of the friendliest slums in the whole world that attracts a lot of slum tours in Nairobi, from across the globe.
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Asante nimeiona,
slum-tours-in-nairobi.jpg

Kibera stands out as one of the friendliest slums in the whole world that attracts a lot of slum tours in Nairobi, from across the globe.
Hahaha , halafu eti mko vizuri , du , hatudanganyiki!
 
Hakuna jengo kama UAP Dar, wacha uongo. Majengo ya kwenu mengi sio modern na mafupi fupi. Acha kukosea UAP heshima. Westlands pekee ina majengo modern kuliko Dar yote.
Unazeeka vibaya,westy ni mtaa tu wala sijui kwann mnahangaika sana na Ji -Papa Posta hamtaliweza
 
Unazeeka vibaya,westy ni mtaa tu wala sijui kwann mnahangaika sana na Ji -Papa Posta hamtaliweza
Wacha kuongea tu.....ongea facts. Westy buildings zake ni modern. Posta only TPA, PSPF and MNF are modern.
 
Back
Top Bottom